Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #421
Ume nikumbusha kitabu Cha mafian circle😁😁😂, sema mi ni jobless tu mkuu😁Hamuaminiki nyie, nyuzi nyingine ni kama nyavu za kuvulia samaki. Mtu akijichanganya tu kanaswa.
Leo chakula, kesho kinywaji, keshokutwa aina ya dem, then mwanamuziki, aina ya muziki, maeneo ya kulia bata...hapo population ni circle vinazidi kupunguzwa, kumbe kuna mtu anafuatiliwa😃.
Ataulizwa hali ya hewa huko alipo, ataulizwa nyuzi joto, akija kustuka kitambo tu ameshazungukwa😃