Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

Askari wa Kirumi enxi zile walikua kamsemo kao fulani amazing sana, walikua wanasevi "Askari haulizi sababu", yaani akiagizwa ni kutekeleza, iwe dhidi ya mtoto wake, wazazi wake au yeyote yule na ilikua ni mwiko na uhaini kwa askari kutotekeleza amri. Hivyo basi, mpango wowote ule kabla haujamfikia Askari akautekeleze, ilipaswa uandaliwe kwa siri sana. Ilitakiwa mpango uandaliwe kwa siri sababu namna pekee ya Askari kuipinga amri hiyo ilikua huyo Askari akisikia tu kuna amri dhidi ya watu wake wa karibu ataagizwa akaitekeleze, basi huyo Askari kitu cha kufanya ilikua ni kumuwahi kumuua mtoa amri kabla hajatoa amri.
US, katika mafunzo ya ya Special Forces, ili waweze kukusoma vizuri, ili kuzuia usi compromise mambo mafunzoni, wao wana msemo unasema "A Soldier is hired to act, not to think", hivyo basi, unapopewa maelekezo unatakiwa kupokea tu, na siyo habari za "I think" or "I suggest"😄.

Sasa watu wa aina hiyo unawezaje ukajiruhusu ku socialise nao?
Ila kwa kuwa sisi wengine ni zaidi ya Carlos The Jackal huwa tunakula Honey Ports bila ya wasiwasi, siyo Carlos The Jackal wenu wa JF
More love brother 🙏💪
 
Back
Top Bottom