Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

Kumbikumbi nilionja mmoja tu nikahisi nakula mende.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Nilikunywa supu ya pweza 2012 ila ghafla kichwa kikaanza kuuma, mwili unaisha nguvu, tumbo linaunguruma, jasho linanitoka na kuanza kutapika,

Mpaka leo nikimuona pweza napita kushoto.
supu ya pweza nilitia kijiko ki1 tuu mdomoni hali iliyonipata hd leo nikiona sehem inapikwa napita mbali kbs....
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Choroko nilipata shida sana kuzimeza na nilikua ugenini
Ulihisi unakula gololi?! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Hakna chakulà spendi Kama ile wanaita KUMBI KUMBI, nilikula kwa Mara ya kwanza ukubwan kabisa, tumbo liliniuma Sana , nikajaribu siku nyingine mwendo ule ule Tumbooo[emoji45]
 
Back
Top Bottom