Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kabichi ni tamu sana basi tu wengi hawajui kupika.

Nilikua nachukia Kabichi ila sasa natamani kila leo nilile.

Kabichi + wali nazi +maharage nazi + nyama ya kukaanga. Weeeeeee
Kabichi ni kachumbali tu.

Lakini mboga mhhh
 
NJUGUMAWE

Hii mboga hunilishi hata iweje.
Njugumawe wakati nakuwa kama imepikwa ilikuwa nakula basi tu ili nisife ila sahivi naichakata vibaya mno. (Njugu mawe kwa ubwabwa)

Kunde na choroko sipendi hata kuviona
 
Mabiringanya = Hayamezeki
Kabichi=Inanuka
Tambi= Huu uchafu mtu asije kuniletea tutakosana.
Ndizi=Hazina ladha kabisa.
Unakulaga nini wakishua???? Pizza burger nini...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
*Soseji ya nyama....Nkasema nitoe ushamba kujarib mweeeeee sikumaliza
*Dengu ilipikwa kama mboga na wali basi nilitapika had leo sitaki zisikia
*Njugumawe dah nlivyoona lile rojo lake nkasema kujilamba sindio huku...yan nliishia kula wali mkav
 
Back
Top Bottom