Kitaalam imekaaje Mshana Jr ?Sio kwenye shule za kike tuu bali ni almost boarding schools sote na hicho kitu ni cha kitambo mno!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aloo😂😂tangu zamani ila bado haizuii genye kutawala
Tumeyatumia sanaaa form one to six ..... usijekuta ndo chanzo cha magonjwa sugu kwenye jamii (kansa/ugumba/kukusa nguvu ya kushiriki uanaum/ke etc)Sio kwenye shule za kike tuu bali ni almost boarding schools sote na hicho kitu ni cha kitambo mno!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana mda wa discussion Tabora boys ulkuwa haushtuki nikikugusa[emoji1787]Kawaida hiyo nimekula makande yenye kerosene nikiwa Tabora gals hadi nahitimu,na sikupata genye wala madhara yoyote.
Kwani wameanza leo?Moja kwa moja kwenye mada.
Wana JF hii ya kuchanganywa chakula na mafuta ya taa kwa wanafunzi wa kike waliopo boarding school kwa kisingizio wasipate au kupunguza hamu ya kufanya mapenzi imekaaje?
Wazazi wanajuwa wako kimya? Walezi nao kimya? Wanajamii kimya? Kulikoni? Madhara kwa watoto wetu wa kike hapo baadaye na sasa yatakuwaje?
Huu utaratibu ni nani alishauri? Kiutalaamu unakubalika?
Karibuni wadau.
kikata nyegeMoja kwa moja kwenye mada.