Chakula kuchanganywa na Mafuta ya taa kwa wanafunzi wa kike Sekondari

jebs2002

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Posts
9,604
Reaction score
8,812
Moja kwa moja kwenye mada.

Wana JF hii ya kuchanganywa chakula na mafuta ya taa kwa wanafunzi wa kike waliopo boarding school kwa kisingizio wasipate au kupunguza hamu ya kufanya mapenzi imekaaje?

Wazazi wanajuwa wako kimya? Walezi nao kimya? Wanajamii kimya? Kulikoni? Madhara kwa watoto wetu wa kike hapo baadaye na sasa yatakuwaje?

Huu utaratibu ni nani alishauri? Kiutalaamu unakubalika?

Karibuni wadau.
 
Kama ni tiba mbadala kwa kupunguza hamu na NGONO, basi tulio kwenye NDOA hasa wapenda michepuko hii yaweza kuwasaidia!

Ndio! Kwanini muwape watoto chakula kilichochanganywa na mafuta ya TAA huku sisi wakubwa kitatushinda?!
 
Aisee tuliopita uboyzn hii kitu tumepitia, Kuna siku ya kande walituwekea dadeq wale wa mwanzo kuchukua msos wakapiga kelele acheni kula turudishe msos kwenye madishi 😁mkuu wa shule akaja akasema ni wapishi walikosea!

Lkn mbali na hyo bado nyege zilikuwa zinatesa tu ilikua ni mwendo wa nyeto na kununua mama
 
Madhara yake ni ugumba. Pia inaweza sababisha wanaume wawe na homoni za kike. Ila nchi hii ina watu wa ajabu sana. Kuna mtu alikaa na kuelekeza shule ziwe zinaweka mafuta ya taa kwenye msosi!!?
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Wana JF hii ya kuchanganywa chakula na mafuta ya taa kwa wanafunzi wa kike waliopo boarding school kwa kisingizio wasipate au kupunguza hamu ya kufanya mapenzi imekaaje?

Wazazi wanajuwa wako kimya? Walezi nao kimya? Wanajamii kimya? Kulikoni? Madhara kwa watoto wetu wa kike hapo baadaye na sasa yatakuwaje?

Huu utaratibu ni nani alishauri? Kiutalaamu unakubalika?

Karibuni wadau.
Kwani wameanza leo?
Una umri gani?
 
kikata nyege
 
Back
Top Bottom