Chakula kwa siku Tsh 30,000

Ila mie naomba kuuliza...bialogia wanasema binadamu anaweza kuishi mpaka 40 days bila kula. Sasa kwa nini tunakula daily sii matumizi mabaya ya resources tuwe tunafunga kama siku tano kwa wiki
Toka hapa ndio maana huna sera
 
Na vidonda vya tumbo unamuachia nani
 
Naona familia nzima unaitafutia ugonjwa wa sukari kwa udi na uvumba.
Mkuu usijali sana maana death is a necessary end.
Haya mambo ya vyakula ukiyafuatilia sana utaishi kwa shida maana almost kila chakula watakwambia kina shida. Chakula kisicho na shida utakuta ni matunda na mbaya zaidi matunda mengi sana siku ni GMO. Ndizi zimekuwa modified kuwa na sukari nyingi, matunda mengine yamekuwa modified kuwa makubwa. Maparachichi, maembe same unakuta unapanda mti withini months kishabalehe kameanza kuzaa tena kama embe, embe kubwa kweli.
Mimi masuala ya chakula kwakweli sifuatilii sana as long as sitaki kuwa over weight, na kula vitu ambavyo ni sumu direct. Mengine yanipite kushoto tu.
 
Ukiwa peke yako unaweza kuamua kunywa maji ya kiroba ya 200 Siku ikapita ila ukiwa na familia huna ujanja
 
Sema siku ukiamua kula unachotaka na si kusema unatumia 30,000 kwa kila siku.

Ipo hivi maisha ya watanzania wengi tunakula kile tunachokipata na siyo kile tunachokitaka.
Silk nyama kula Siku ila nakula walau mara 3 kwa wiki na tunakoelekea nitapunguza iwe mara 1 kwa wiki.
Lakini hata ukirudi kwenye samaki kwamoto pia. Kwa ufupi maisha yamepanda sana. Ule dagaa wa mwanza update appeΓ±dix ukachanwe utumbo
 
Huko maisha rahisi
 
Kwenye nyuzi kama hizi sijui nimekula 700 au buku kwa siku watu wanachangia kwa furaha sana ila kwenye nyuzi kama mwijaku kajenga ghorofa watu wanachangia kwa hasira na chuki sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…