Chakula kwa siku Tsh 30,000

Chakula kwa siku Tsh 30,000

Ila mie naomba kuuliza...bialogia wanasema binadamu anaweza kuishi mpaka 40 days bila kula. Sasa kwa nini tunakula daily sii matumizi mabaya ya resources tuwe tunafunga kama siku tano kwa wiki
Toka hapa ndio maana huna sera
 
Kama vitu vya muhimu like mkaa, unga, mchele, mafuta, sukari....vipo ndani, si unainjika maharage tu mnayala mchana kwa ugali na usiku kwa wali na tikiti maji la jero!

Ama ugali dagaa mchana, usiku unaongezea tembele au mchicha wa 500 mnakula tena ugali na vidagaa vilivyobaki mchana.

Life goes on!
Na vidonda vya tumbo unamuachia nani
 
Naona familia nzima unaitafutia ugonjwa wa sukari kwa udi na uvumba.
Mkuu usijali sana maana death is a necessary end.
Haya mambo ya vyakula ukiyafuatilia sana utaishi kwa shida maana almost kila chakula watakwambia kina shida. Chakula kisicho na shida utakuta ni matunda na mbaya zaidi matunda mengi sana siku ni GMO. Ndizi zimekuwa modified kuwa na sukari nyingi, matunda mengine yamekuwa modified kuwa makubwa. Maparachichi, maembe same unakuta unapanda mti withini months kishabalehe kameanza kuzaa tena kama embe, embe kubwa kweli.
Mimi masuala ya chakula kwakweli sifuatilii sana as long as sitaki kuwa over weight, na kula vitu ambavyo ni sumu direct. Mengine yanipite kushoto tu.
 
nikipika
mihogo 3 300

chinese fungu 1 500
kitunguu 100 limao 100 pilipili 100 mafuta kipimo cha 500 mchele nusu 1300 (nakula mchana jioni na kesho asbh kiporo)
inabaki mia naweza nikanunua hata barafu au dawa ya mbu ya kuchoma

mboga ya pili viazi vya 500 napika roast la viazi as mboga
Ukiwa peke yako unaweza kuamua kunywa maji ya kiroba ya 200 Siku ikapita ila ukiwa na familia huna ujanja
 
Sema siku ukiamua kula unachotaka na si kusema unatumia 30,000 kwa kila siku.

Ipo hivi maisha ya watanzania wengi tunakula kile tunachokipata na siyo kile tunachokitaka.
Silk nyama kula Siku ila nakula walau mara 3 kwa wiki na tunakoelekea nitapunguza iwe mara 1 kwa wiki.
Lakini hata ukirudi kwenye samaki kwamoto pia. Kwa ufupi maisha yamepanda sana. Ule dagaa wa mwanza update appeñdix ukachanwe utumbo
 
Mara ya kwanza nafika Tanga nilishanga sana vyakula bei chin sana even kwa mama ntilie

Nilienda sehem moja wanauza ugali 500 na mboja majani hahaha hii mwaka jana mwenz wa kumi

supu hadi ya 500 ipo 😂 mi nahis ukisha zoea maisha ya dar mikoan utaona wanaenjoy san
Huko maisha rahisi
 
Kwenye nyuzi kama hizi sijui nimekula 700 au buku kwa siku watu wanachangia kwa furaha sana ila kwenye nyuzi kama mwijaku kajenga ghorofa watu wanachangia kwa hasira na chuki sana!
 
Back
Top Bottom