Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Toka hapa ndio maana huna seraIla mie naomba kuuliza...bialogia wanasema binadamu anaweza kuishi mpaka 40 days bila kula. Sasa kwa nini tunakula daily sii matumizi mabaya ya resources tuwe tunafunga kama siku tano kwa wiki