Chakula kwa siku Tsh 30,000

Duh!
 
Watu wanasema Michele kilo 2 nyiñgi, haya hata ukiondoaa kilo moja ibaki moja umepunguza elfu 3 ambayo inanunua nanasi moja, elfu 30 imeisha
Watu wengi wanakula bar na kuacha familia zikila vyakula vya kuunga unga hiyo pesa kwenye vyakula sasa hivi pana vitu vitapungua ukitaka upate vitu sahihi..
 
Huo ndo ukwel arusha vyakula vya kununua sio bei kama unavyo aminisha watu .labda hotel za mjini ila kama una pika kama mtoa mada sio gharama .

me nmekaa arusha more than 5 years [emoji81][emoji81]amna nyanya ya 500? Be serious unique
Haya sawa
 
Kuna jamaa alisema kuwa itatupasa kuhamia nchi jirani. Juu kushoto ya chini(Burundi)
 
Tafuta hela ndulele wewe
 
Hayo ni matumizi yako hio kwa maisha ya kawaida wanaweza wakala wiki Sasa Kama wewe maisha yako Yana bajet hio kaa nayo acha kutisha vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…