Chakula kwa siku Tsh 30,000

Chakula kwa siku Tsh 30,000

sisi huku kwetu kijijini zaidi ya kutafuta tu hela ya kusaga mahindi mashineni
hakuna gharama yeyote zaidi ya kupambana na jembe wakati wa Masika unahifadhi mazao yako ndani msimu mzima mpk unavuna mazao mengine
asubuhi ugali , mchana Kande,usiku Kande maisha inasonga
Duh!
 
Watu wanasema Michele kilo 2 nyiñgi, haya hata ukiondoaa kilo moja ibaki moja umepunguza elfu 3 ambayo inanunua nanasi moja, elfu 30 imeisha
Watu wengi wanakula bar na kuacha familia zikila vyakula vya kuunga unga hiyo pesa kwenye vyakula sasa hivi pana vitu vitapungua ukitaka upate vitu sahihi..
 
Huo ndo ukwel arusha vyakula vya kununua sio bei kama unavyo aminisha watu .labda hotel za mjini ila kama una pika kama mtoa mada sio gharama .

me nmekaa arusha more than 5 years [emoji81][emoji81]amna nyanya ya 500? Be serious unique
Haya sawa
 
Kuna jamaa alisema kuwa itatupasa kuhamia nchi jirani. Juu kushoto ya chini(Burundi)
 
Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
Tafuta hela ndulele wewe
 
Hayo ni matumizi yako hio kwa maisha ya kawaida wanaweza wakala wiki Sasa Kama wewe maisha yako Yana bajet hio kaa nayo acha kutisha vijana
 
Back
Top Bottom