- Thread starter
- #261
Duh!sisi huku kwetu kijijini zaidi ya kutafuta tu hela ya kusaga mahindi mashineni
hakuna gharama yeyote zaidi ya kupambana na jembe wakati wa Masika unahifadhi mazao yako ndani msimu mzima mpk unavuna mazao mengine
asubuhi ugali , mchana Kande,usiku Kande maisha inasonga