Chakula kwa siku Tsh 30,000

Chakula kwa siku Tsh 30,000

Wakati kuna dagaa na mboga za majani plus matunda haizid 5000 familia inakula balance diet kwa bei chee 😂😂.

Kibongo usipoendekeza tamaa 10k inatoa msosi balance diet hatar mnakula familia nzima
nafikiri elimu ndio shida hapo kwa 10k angejipatia vibua wakumtosha kama kitoweo cha siku walau mbili
 
Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia


Mchele unanunuliwaga mwingi
 
okay sijakuelewa though..main focus yangu hapo ni irrationality ya budgeting..usiwe serious sana kwenye simple matters mkuu. We r not getting paid here!!
Sijui Kati yangu na wewe nani yupo serious ... Nilitaka tu kuelewa kiasi hicho kwa familia ya mtoa mada... Sasa ulipo ingiza yako nikaelewa kama nilivyo jb.
 
Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
Kwaiyo unataka uwakataze kuanzisha familia kwa maana huko mbeleni maisha ndo yatakuwa yabei rahis?
 
Humu stori tu mkuu...sio kila kitu ni serioua japo kiuhalisia huo ndio ukwel but huwez ona kwakua unakuta labda ni vile ulishanunua vitu kwa wingi ndani.

Ila ukipiga ki reja reka kwa siku unaweza shangaa na wewe unacheza humo humo
Hapana mkuu mimi home nakula 300k per month nipo mimi wife na watoto wawili tu, labda matumizi yanaweza kuzidi kipindi shule zikifungwa maana madogo huja kukaa home kupindi cha likizo.
 
Sasa ukipika wewe hiyo elf 3 itakutoshaje?

Hiyo 700 unasubiri jioni unywe supu ya ngozi ya ngome au utumbo wa kuku??
nikipika
mihogo 3 300

chinese fungu 1 500
kitunguu 100 limao 100 pilipili 100 mafuta kipimo cha 500 mchele nusu 1300 (nakula mchana jioni na kesho asbh kiporo)
inabaki mia naweza nikanunua hata barafu au dawa ya mbu ya kuchoma

mboga ya pili viazi vya 500 napika roast la viazi as mboga
 
Back
Top Bottom