Lak1 per day..si mchezo...Je laki moja per day njoo Arusha utahama tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lak1 per day..si mchezo...Je laki moja per day njoo Arusha utahama tu
nafikiri elimu ndio shida hapo kwa 10k angejipatia vibua wakumtosha kama kitoweo cha siku walau mbiliWakati kuna dagaa na mboga za majani plus matunda haizid 5000 familia inakula balance diet kwa bei chee 😂😂.
Kibongo usipoendekeza tamaa 10k inatoa msosi balance diet hatar mnakula familia nzima
Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
Sijui Kati yangu na wewe nani yupo serious ... Nilitaka tu kuelewa kiasi hicho kwa familia ya mtoa mada... Sasa ulipo ingiza yako nikaelewa kama nilivyo jb.okay sijakuelewa though..main focus yangu hapo ni irrationality ya budgeting..usiwe serious sana kwenye simple matters mkuu. We r not getting paid here!!
wanakula kama hamna kesho walahWatu wanne mnakula kilo mbili za mchele? Tena na watoto? Mnavuta bangi kabla ya kula?
Sawa..Sijui Kati yangu na wewe nani yupo serious ... Nilitaka tu kuelewa kiasi hicho kwa familia ya mtoa mada... Sasa ulipo ingiza yako nikaelewa kama nilivyo jb.
😂😂😂😂😂😂😂wanakula kama hamna kesho walah
Kwaiyo unataka uwakataze kuanzisha familia kwa maana huko mbeleni maisha ndo yatakuwa yabei rahis?Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
😂😂😂😂Watu wanne mnakula kilo mbili za mchele? Tena na watoto? Mnavuta bangi kabla ya kula?
Humu stori tu mkuu...sio kila kitu ni serioua japo kiuhalisia huo ndio ukwel but huwez ona kwakua unakuta labda ni vile ulishanunua vitu kwa wingi ndani.Kuna watu mna maisha 30k per day. Kweli hatufanani.
Hapana mkuu mimi home nakula 300k per month nipo mimi wife na watoto wawili tu, labda matumizi yanaweza kuzidi kipindi shule zikifungwa maana madogo huja kukaa home kupindi cha likizo.Humu stori tu mkuu...sio kila kitu ni serioua japo kiuhalisia huo ndio ukwel but huwez ona kwakua unakuta labda ni vile ulishanunua vitu kwa wingi ndani.
Ila ukipiga ki reja reka kwa siku unaweza shangaa na wewe unacheza humo humo
Hebu tuchanganulie hiyo 3000 itoshe familia ya Baba ,mama na watoto wawili.asubuhi ,mchana na jioni.ikave Kila kitu.Unaishi kulingana na kipato chako mkuu! Kuna watu wanafamilia na wanaishi kwa 3000 kwa siku! Na maisha yanasonga! Hatuwezi kufanana
nikipikaSasa ukipika wewe hiyo elf 3 itakutoshaje?
Hiyo 700 unasubiri jioni unywe supu ya ngozi ya ngome au utumbo wa kuku??
Njoo huku kwetu Ntwara kama hiyo hela itatoshakaroti nyanya na vitu gani sijui umeweka hapo haviwezi fika 5000 wacha ubabaishaji na huo mkaa wa5000 ni debe mnapikia wote kwa siku! wacha zako wewe kisha hiyo chai ya 5000 ni chai gani kwa watu wanne wacha ujanjanjaunja na mchele kilo mbili kwani mnachana mbao?