Kasongo Yeyee
JF-Expert Member
- Feb 13, 2019
- 281
- 406
Tufanye familia ya mke na mume tu
Mchanganuo wa hiyo 3000 unakuaje kuanzia asubuhi hadi usiku?
dona+dagaa+maji mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tufanye familia ya mke na mume tu
Mchanganuo wa hiyo 3000 unakuaje kuanzia asubuhi hadi usiku?
Nimesema kwa siku sio kwa mlo mmojaIla na wewe liongo! Watu wanne mnakulaje kilo 2 za Michele? Mafuta na viungo elfu5?
Mac Alpho naomba umlipe dear Amehlo pesa ya tuition anifunze, nahisi nina shida na hii 'bageti' ili tuwe matajiri.!!😂😂nikipika
mihogo 3 300
chinese fungu 1 500
kitunguu 100 limao 100 pilipili 100 mafuta kipimo cha 500 mchele nusu 1300 (nakula mchana jioni na kesho asbh kiporo)
inabaki mia naweza nikanunua hata barafu au dawa ya mbu ya kuchoma
mboga ya pili viazi vya 500 napika roast la viazi as mboga
😂😂😂Una uhakika sisi "team mchwa" tunaweza kutoboa kwa hivi vipimo?
😁😁😂😂😂
Ahsante baba, hii ni umetupa jiwe gizani kabisa, halafu ukute familia ina stress..!!🙌
Kabisa mkuu mtu anaonekana anatupiga na kutia wadogo zetu hofu ya kuanzisha familia.... Na hii ni mbaya sana maana mpaka kijana aweze kuchambua uongo kwenye maneno yake ashapoteza muda wakati kuna watu hawana vipato vya kueleweka na wana familia japo zinakula msoto ila wanaishiJamaa kuna mahala anafeli au anatupigia hesabu za pdf. Kuweza kuhandle familia ni PhD tosha
Mkuu huyu mleta mada kama ni kweli basi anafuga mchwa ndani kwake au huenda jamaa ni wa kanda maalumu kule wali nyama ni kama uji tu 😂😂Watoto wawili mnamaliza kg ya nyama na kg2 za mchele?
Akhi my kids aren’t serious with life
Miogo fungu la bukuTufanye familia ya mke na mume tu
Mchanganuo wa hiyo 3000 unakuaje kuanzia asubuhi hadi usiku?
Sio kweli.Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
[emoji28][emoji28][emoji28]ona huyu utazani Arusha ame ishi peke ake.. sehemu unayo tumia 50k kuna mtu ana tumia 10k kikubwa ujue maeneo Arusha wanao lia shida ya bei ya vyakula ni wame taka tu au wana ka ulimbukeni ka kukariri kwamba uku wana zani kila mtu mtalii acha tununue bei.Je laki moja per day njoo Arusha utahama tu
Familia ya watoto wawili jumlisha wazazi wawili na dada mle kg 2?,hauko seriuos aiseeMaisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
Million hiyo kwa mwezi. Bado wife hajaenda salon, gari kiwekewa mafuta, wakwe kutumia japo laki moja, wazazi nyumbani utume laki tano...simu ya wafi screen imevunjika mara sijui wife kagonga gari, pumpa ya maji imebuma....aisee kweli kazi ipoMaisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
Kama vitu vya muhimu like mkaa, unga, mchele, mafuta, sukari....vipo ndani, si unainjika maharage tu mnayala mchana kwa ugali na usiku kwa wali na tikiti maji la jero!Achana na familia ya mke na mume.
Yeye mwenyewe tu aje atueleweshe huo mchanganuo wa pesa hiyo kwa asubuhi mpaka jioni.
Hujakosea kuitwa mr devil acha uongo hakuna nyanya inayouzwa 500 unabahatisha sana huko huko unapodai ni rahisi[emoji28][emoji28][emoji28]ona huyu utazani Arusha ame ishi peke ake.. sehemu unayo tumia 50k kuna mtu ana tumia 10k kikubwa ujue maeneo Arusha wanao lia shida ya bei ya vyakula ni wame taka tu au wana ka ulimbukeni ka kukariri kwamba uku wana zani kila mtu mtalii acha tununue bei.
[emoji28]Arusha amna bei ya vyakula masoko yamejaa tengeru ,USA uko ni wewe tu ,ila ukitaka kununua vya delivery mtaani lazima uliee