Chakula kwa siku Tsh 30,000

Chakula kwa siku Tsh 30,000

Kununua chakula in bulk kunasaidia kusave pesa na matumizi yake ,Hayo Mafuta ya elfu 5 mnakunywa Au mnajipaka
 
nikipika
mihogo 3 300

chinese fungu 1 500
kitunguu 100 limao 100 pilipili 100 mafuta kipimo cha 500 mchele nusu 1300 (nakula mchana jioni na kesho asbh kiporo)
inabaki mia naweza nikanunua hata barafu au dawa ya mbu ya kuchoma

mboga ya pili viazi vya 500 napika roast la viazi as mboga
Mac Alpho naomba umlipe dear Amehlo pesa ya tuition anifunze, nahisi nina shida na hii 'bageti' ili tuwe matajiri.!!😂😂
 
Wakati unaongelea masuala ya bajeti ya chakula 30k kwa siku kumbuka kuna baba wafamilia anapokea mshahara 120,000 tu kiwandani kwa muhindi na ana survive nao mwezi mzima
 
Mtu mwenye degree tu ya ualimu hapokei mshahara wa 900,000 kwa mwezi ikiwa na maana hawezi kuishi maisha ya kula 30k kwa siku
 
😂😂😂
Ahsante baba, hii ni umetupa jiwe gizani kabisa, halafu ukute familia ina stress..!!🙌
😁😁
Hela isipokuwepo hutakiwi kupewa stress kabisa wewe, vinginevyo budget za mleta mada zitahusika.
 
Jamaa kuna mahala anafeli au anatupigia hesabu za pdf. Kuweza kuhandle familia ni PhD tosha
Kabisa mkuu mtu anaonekana anatupiga na kutia wadogo zetu hofu ya kuanzisha familia.... Na hii ni mbaya sana maana mpaka kijana aweze kuchambua uongo kwenye maneno yake ashapoteza muda wakati kuna watu hawana vipato vya kueleweka na wana familia japo zinakula msoto ila wanaishi
 
Watoto wawili mnamaliza kg ya nyama na kg2 za mchele?

Akhi my kids aren’t serious with life
Mkuu huyu mleta mada kama ni kweli basi anafuga mchwa ndani kwake au huenda jamaa ni wa kanda maalumu kule wali nyama ni kama uji tu 😂😂
 
Kipato ndio kinaamua uishi maisha ya namna gani ,maana kuna mwingine hata hiyo elfu 30 anaiona ni ndogo sana kwa siku ,lakini kibongo bongo ukiwa na gesi au mkaa ,mafuta ya kula, mazaga zaga ya jikoni ,unga ,mchele,kiasi cha range ya 5000 hadi 10000 kwa siku inatosha ,unless gharama ya elfu 30 and above kwa idadi ya familia kama hiyo ya mtoa post kwa siku moja moja miamue kula kwa kujichana ndio bajeti inaweza vuta huko.
 
Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
Sio kweli.
 
Je laki moja per day njoo Arusha utahama tu
[emoji28][emoji28][emoji28]ona huyu utazani Arusha ame ishi peke ake.. sehemu unayo tumia 50k kuna mtu ana tumia 10k kikubwa ujue maeneo Arusha wanao lia shida ya bei ya vyakula ni wame taka tu au wana ka ulimbukeni ka kukariri kwamba uku wana zani kila mtu mtalii acha tununue bei.

[emoji28]Arusha amna bei ya vyakula masoko yamejaa tengeru ,USA uko ni wewe tu ,ila ukitaka kununua vya delivery mtaani lazima uliee
 
Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
Familia ya watoto wawili jumlisha wazazi wawili na dada mle kg 2?,hauko seriuos aisee
 
Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
Million hiyo kwa mwezi. Bado wife hajaenda salon, gari kiwekewa mafuta, wakwe kutumia japo laki moja, wazazi nyumbani utume laki tano...simu ya wafi screen imevunjika mara sijui wife kagonga gari, pumpa ya maji imebuma....aisee kweli kazi ipo
 
Ila mie naomba kuuliza...bialogia wanasema binadamu anaweza kuishi mpaka 40 days bila kula. Sasa kwa nini tunakula daily sii matumizi mabaya ya resources tuwe tunafunga kama siku tano kwa wiki
 
Achana na familia ya mke na mume.

Yeye mwenyewe tu aje atueleweshe huo mchanganuo wa pesa hiyo kwa asubuhi mpaka jioni.
Kama vitu vya muhimu like mkaa, unga, mchele, mafuta, sukari....vipo ndani, si unainjika maharage tu mnayala mchana kwa ugali na usiku kwa wali na tikiti maji la jero!

Ama ugali dagaa mchana, usiku unaongezea tembele au mchicha wa 500 mnakula tena ugali na vidagaa vilivyobaki mchana.

Life goes on!
 
[emoji28][emoji28][emoji28]ona huyu utazani Arusha ame ishi peke ake.. sehemu unayo tumia 50k kuna mtu ana tumia 10k kikubwa ujue maeneo Arusha wanao lia shida ya bei ya vyakula ni wame taka tu au wana ka ulimbukeni ka kukariri kwamba uku wana zani kila mtu mtalii acha tununue bei.

[emoji28]Arusha amna bei ya vyakula masoko yamejaa tengeru ,USA uko ni wewe tu ,ila ukitaka kununua vya delivery mtaani lazima uliee
Hujakosea kuitwa mr devil acha uongo hakuna nyanya inayouzwa 500 unabahatisha sana huko huko unapodai ni rahisi
 
Back
Top Bottom