Chalamila aanza kwa kishindo! Atumia usafiri wa bajaj

Chalamila aanza kwa kishindo! Atumia usafiri wa bajaj

Mbwembwe za wanasiasa tu hizo...

Atapanda bajaj mara moja, lakini atapanda LC300 mara zisizohesabika...
 
Ila pedeshee Makala ana kimavi siyo cha dunia hii,katoka kwenye mgomo wa wafanyabiashara kaenda kwenye mgomo wa daladala kudadadadeq
Pedesheee makala bora abadilishe Mganga wake, si kwa kimavi hiko! Niliona kwenye taarifa ya habari,hadi nikacheka mwenyewe!!
 
Mbona hajavaa helmet? Anakuja kufanya kazi kisheria wakati ameshavunja sheria tayari
 
Huyo ndiyo Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa wa DSM,hapo full ulinzi,usiwe na shaka Kijana!!
Sound as police state!,means yeye yupo above traffic laws!,Tanzania nchi ya vituko sana, kesho RC akitoa tamko la kuvaa helmet akiwa ignored ajue yeye ndiye aliyeanza kunajisi sheria
 
Haijalishi ni ya nani bali tambua usafiri wowote wa kawaida ikitokea kiongozi anatakiwa autumie ima ni wa mtu aliye ndani ya mfumo asiyetambuliwa na wanaomzunguka ama unamilikiwa na Taasisi ya Serikali.

Chukua hii 👇:

Mara nyingi Taxi, Bajaj na Pikipiki ukiona anapanda Kiongozi huwa ni za PT Idara ya I.
Acha kukariri zama zinabadilika sana..
Alafu mkuu wa mkoa sio big issue nowdays..
 
Kazi kazi kazi.......[emoji106]

Kazi na iendelee[emoji123][emoji123]

#SiempreJMT[emoji120]
 
Haijalishi ni ya nani bali tambua usafiri wowote wa kawaida ikitokea kiongozi anatakiwa autumie ima ni wa mtu aliye ndani ya mfumo asiyetambuliwa na wanaomzunguka ama unamilikiwa na Taasisi ya Serikali.

Chukua hii [emoji116]:

Mara nyingi Taxi, Bajaj na Pikipiki ukiona anapanda Kiongozi huwa ni za PT Idara ya I.
NDIYO UNYWEEE BIA SASA

ova
 
Back
Top Bottom