Chalamila hana upeo wala uwezo wa Kuongoza Dar, bora hata angepewa Aggrey Mwanri

Hata Mimi nimejiuliza sana...

Ni kigezo gani hasa kimetumiwa na washauri wa Rais kumpa mtu kama Chalamila kuongoza mkoa wenye watu zaidi ya milioni 7? Ni kujuana? Rushes? Urafiki au kweli kigezo cha uwezo kimezongatiwa?

Hizi nafasi za mtu mmoja kupewa uwezo wa kuteua watu wake, shida yake ndiyo hii. Ipo siku Rais aweza kuteua hata nguruwe awe kiongozi wenu!!
 
Kwani Chalamila anatofauti ipi? nadar kunanini cha ajabu hadi asiweze?

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Kwa taarifa yako...
Chalamila atawapruvu wrong.
Jamaa anajua fika Dar ni nzito.

Nimemsikiliza akihojiwa na Clouds nakuhakikishia muda mfupi ujao Dar itajaa furaha na mambo yataenda...tunza hii post.
 
Mtu ameshastaafu utumishi Wewe unataka aendelee kuteuliwa, hizi ni akili za wapi?
 
Huu ushauri hata rais akipitia ataona ni kweli kafanya makosa. Mwanri alikuwa mtu sahihi
 
Wewe hata nyumba yako (kwanza huna) imekushinda
 
'Mama' alisema amemrejesha kumpima. Inawezekana kamleta Dar ili achinjiwe baharini maana hata alikotoka Wananchi tunashangilia. Uwezo wake kwa ujumla ni mdogo. He is a comedian.
 
Hakuna kitu inapita Tanzania haipiti Dar, hata jf office zipo dar, kwa Tanzania dar ni Tooooop top
Acha ujinga kwahiyo Tanga na Mtwara hakuna bandari? watu wakanda maalum mizigo yao mingi inapitia Sirari kupitia Mombasa Port.Endelea kukalili na Dar yako watu wapo njombe,Iringa,Tunduma na Mpanda wanapiga pesa.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…