Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Hiyo ni summary. Kasome moja ya biography za Hitler upate details zote. Alishinda uchaguzi kwa kishindo na kuwa Chancellor of Germany. Hicho ndicho cheo rasmi cha mkuu wa serikali ya Ujerumani. Kama vile Prime Minister of UK.Enhe, alishinda kwa kishindo uchaguzi wa kidemokrasia wa 1933...
Kisha akajitangaza mtawala mkuu wa Ujerumani...
Alishinda kwa kishindo uchaguzi ili awe nani, mtawala naibu ?
Yeye akafanya mchakato wake wa kijanja na kujiita “führer”.