Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Aisee kazi ipo..
Hii ni murder au manslaughter, Katuga na George fungulieni huyu mashtakaView attachment 3681600
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kiwa kama kutakuwa na dereva ambaye hamsikilizi yeye kama Mkuu wa mkoa ila anamsikiliza tajiri yake basi familia yake itamsahau.
Hili jamaa lina minyoo kichwaniView attachment 3681600
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kiwa kama kutakuwa na dereva ambaye hamsikilizi yeye kama Mkuu wa mkoa ila anamsikiliza tajiri yake basi familia yake itamsahau.
Converted Tanzania to a Killing Field.View attachment 3681600
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kiwa kama kutakuwa na dereva ambaye hamsikilizi yeye kama Mkuu wa mkoa ila anamsikiliza tajiri yake basi familia yake itamsahau.
Msenge nini hayo magari ya kuendesha aliwapa yeye mpaka aseme familia zao zitawasahau? Anaongeaje km amekatwa kichwaMkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kiwa kama kutakuwa na dereva ambaye hamsikilizi yeye kama Mkuu wa mkoa ila anamsikiliza tajiri yake basi familia yake itamsahau.
Kwao kuharibu sip shida tenaAliempa kazi anazidi kudharaulika sana kwa sababu hii, INGEKUA mwingne angeshamtimua kazi maana anazidi kuharibu
Duuh!CLip wameikata.alimalizia kwa kusema lazima kikosi kazi kimteke.