Sasa si ameajiri anaofanana nao, atawatimuaje?Aliempa kazi anazidi kudharaulika sana kwa sababu hii, INGEKUA mwingne angeshamtimua kazi maana anazidi kuharibu
Hapo ndio wanazidi kuharibu ngoja tuoneSasa si ameajiri anaofanana nao, atawatimuaje?
Wala shida sio uanamke wake, msitafute kichaka cha kujifichia. Semeni tu ukweli kuwa uwezo wake ndio tatizo. Mmemtwika majukumu makubwa mnoo.Hii serikali inachezewa kisa Rais mwanamke
Unatumia kinuwajigani madame tafadhali....🤗Wala shida sio uanamke wake, msitafute kichaka cha kujifichia. Semeni tu ukweli kuwa uwezo wake ndio tatizo. Mmemtwika majukumu makubwa mnoo.
Sayona🤣Unatumia kinuwajigani madame tafadhali....🤗
Umepata mama...Sayona🤣
Waueni wote ili mbaki na serikali yenuKwani kuna nini tena huko Dsm? Tumewachoka hao madereva, RC yuko sahihi washughulikiwe wanaidharau serikali wanataka nchi usitawalike. Kamata weka ndani wamekuja kufanya fujo stand, Futa leseni mnasubiri nini? Hii serikali inachezewa kisa Rais mwanamke
POLE SANA KWA MSIBA WA CHIVAYO MKUUKwani kuna nini tena huko Dsm? Tumewachoka hao madereva, RC yuko sahihi washughulikiwe wanaidharau serikali wanataka nchi usitawalike. Kamata weka ndani wamekuja kufanya fujo stand, Futa leseni mnasubiri nini? Hii serikali inachezewa kisa Rais mwanamke
Asanteeee🙏Umepata mama...
Aliyeweka hicho kisauti cha kucheka ni Mngese tena ana Matukunyema MakubwaView attachment 3681600
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kiwa kama kutakuwa na dereva ambaye hamsikilizi yeye kama Mkuu wa mkoa ila anamsikiliza tajiri yake basi familia yake itamsahau.