Chalamila: Kama kutakuwa na dereva ambaye hanisikizi, familia yake itamsahau

Chalamila: Kama kutakuwa na dereva ambaye hanisikizi, familia yake itamsahau

Kwani kuna nini tena huko Dsm? Tumewachoka hao madereva, RC yuko sahihi washughulikiwe wanaidharau serikali wanataka nchi usitawalike. Kamata weka ndani wamekuja kufanya fujo stand, Futa leseni mnasubiri nini? Hii serikali inachezewa kisa Rais mwanamke
Kaka' sijui Dada, ila nikutaadharishe na ukumbuke kuweka akiba ya maneno yako


Amini kuwa Kila mmoja atafikiwa kwa wakati wake, hata kama siyo leo... Ila tambua wataifikia familia yako.

Sasa endelea kuimba mapambio ukiamini unawakomoa wengine
 
Back
Top Bottom