Chalamila: Kama kutakuwa na dereva ambaye hanisikizi, familia yake itamsahau

Chalamila: Kama kutakuwa na dereva ambaye hanisikizi, familia yake itamsahau

View attachment 3681600

Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kiwa kama kutakuwa na dereva ambaye hamsikilizi yeye kama Mkuu wa mkoa ila anamsikiliza tajiri yake basi familia yake itamsahau.
Ulevi wa madaraka mbaya sana, huyu bwana na kile cha Kisarawe tunawasubiri kwa hamu huku uswahilini, na uzuri wake hici clip zipo milele na milele, we we Chalamila wewe ni nani? hata senti hutoi kuwalipa hao madereva, wewe mbona hatujakusahau pamoja na jiji kunuka, umebaki kujikomba kwa watoto wa bi mkubwa.
 
Tume zinaundwa kila siku kutaka kuwajua Wasiojulikana, kumbe wengine wanajitaja wenyewe majukwaani 🙌
 
Zamani kwenye movie za ki nigeria mchawi mwishoni lazima ajitaje na watu alowawangia awataje, kumbe ni kweli aisee nilijua movie tu!
 
Sasa utawala huu umeua watu kama wadudu, na mpaka leo hakuna hata polisi mmoja aliyewajibishwa.

Mnashangaa Mkuu wa Mkoa kutowajibishwa kwa maneno haya tu?
 
Huyu jamaa sijui kama ana muda mrefu sana.... mdomo wake utamponza tena
 
Unaanza kutafakari ni aina gani ya elimu tuliyonayo kama wasomi wenyewe ni ******* kama hawa

Stupid. Yaani yeye anadhani kuua mtu ndo kusovu tatizo
Na ni msomi taahira hili!!!!
Badala kujiuliza tatizo nini wao wanadhani kuua watu ndo kusovu tatizo fooolish 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Shida ni hao nyumbu wanaomchekea hapo.

Wanashangilia kabisa na makofi!

Haki ya mama watanzania ni nyumbu.
 
View attachment 3681600

Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kiwa kama kutakuwa na dereva ambaye hamsikilizi yeye kama Mkuu wa mkoa ila anamsikiliza tajiri yake basi familia yake itamsahau.
Screenshot_20260930-082516~2.png
 
Back
Top Bottom