Chalamila: Kama Serikali inatuma vikosi kupigana Congo, inashindwa kuja kupigana Kariakoo?

Chalamila hajaenda kutatua tatizo,amekwenda kuongeza tatizo
Huyu jamaa ukimsikiliza akiwa ametulia huwezi amini kama ni mropokaji, Jana wakati anawasihi wafanyabiashara waendelee na kazi, alikuwa anaongea kwa utulivu mkubwa huku akionyesha jitihada walizochukua kama serikali. Sasa hivi tena naona amerudi kule kwenye tabia yake ya asili
 
Madhara ya kutoshirikisha ubongo na ulimi.v
Unyumbu ni tabia ya waliopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama uoga kwa viongozi wao pia kutumikia kundi fulani, (human herding), human herding is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering or working towards group objectives and fear 😨 of their leaders
 
Leo kavuta skanka.
 
Mheshimiwa nasikia unaitwa pimbi, hiyo ya kwamba serikali itatuma vikosi Kariakoo kulinda amani,kama ilivyotuma Congo, ni akili ya kuku , to say the least.
 
Kwa hiyo kariakoo kuna mapigano? Mbwa huyo. Mifano ya kijinga kabosa na statement za kishenzi.
 
Chalamila, very sorry for mkuu. Hv Kariakoo umekwenda kusikiliza shida za wafanyabiashara au umekwenda kuwapa vitisho? Nikueleweshe tu, jeshi ni taasisi kubwa na nyeti kwa usalama wa nchi, huwezi kuitajataja kirahisi hivyo. Kuwa makini na kauli zako. Kumbuka Rais Samia wakati abakurejesha kwenye madaraka kuna jambo alisema juu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…