Chalamila: Kama Serikali inatuma vikosi kupigana Congo, inashindwa kuja kupigana Kariakoo?

Dishi
 
Alionywa sana kuchunga ulimi wake.
 
Fact!

Tunafunga karikoo miezi miwili, tunaenda kufidia pengo la kodi ya kariakoo ya miezi miwili kwa kukopa World Bank, ndio tuone nani atafilisika.
 
NDIYO WASOMI WETU WA UDSM, HAFAHAMU SENTENSI GANI ITUMIKE MAHALA GANI?, HAPA NI KWENYE BIASHARA KUNA LANGUAGE YAKE YA KIBIASHARA, HIVI TUNAKWENDA UNIVERSITY KUFANYA NINI.
 
Hawa watu wanahitaji management training ya Hali ya juu, yaani huyu anaishi Karne nyingi saana nyuma.

Bado anaamini ukiwa kiongozi unanguvu zote za kuwafanya raia utakacho, huku anasahau hao pia ndio wanamlipa mishahara, kujaza gari la Serikali mafuta,pakuishi, na hiyo status aliyonayo.
 
Jana ilikuwa weekend bado, jamaa atakuwa bado ana hangover. Ila kiukweli hii nchi inahitaji reform kubwa sana, huwezi amini huyu ni mkuu wa mkoa Dar Es Salaam, jiji tunalolitegemea 😃
 
RC Chalamila anguruma Kariakoo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…