ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 8,681
- 16,290
Kama kavunja sheria kwanini asipelekwe mahakamani sheria zikatafsiriwe?Ht km ni mwehu utamlinganishaje Waziri Mkuu na mhuni asiyewajibika kwa lolote kwa wananchi? Uvute bangi zako huko arudi tena hajavunjwa viuno vyote.