PreGE2025 Chalamila: Kariakoo ni eneo la biashara siyo sehemu ya kufanyia mikutano ya hadhara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Serikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Heche amekamatwa kutokana na kuendesha mkutano katika eneo lisiloruhusiwa kisheria.

Chalamila amesema ni muhimu wanasiasa kuheshimu taratibu za kufanya mikutano ya hadhara na kwamba sheria itachukua mkondo wake kwa yeyote atakayekiuka.

Aidha, Chalamila amezungumzia tetesi za kuwapo kwa kundi la watu wanaopanga kufanya maandamano tarehe 24 mwezi huu, akisisitiza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga kuhakikisha amani inadumishwa. Ametoa wito kwa wananchi kufuata sheria na kuepuka kushiriki katika mikusanyiko isiyo halali.

Serikali imesisitiza kuwa haitafumbia macho vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha utulivu wa nchi.

You’re f—king ass-hole
 
Ht km ni mwehu utamlinganishaje Waziri Mkuu na mhuni asiyewajibika kwa lolote kwa wananchi? Uvute bangi zako huko unaenda kuvuruga wananchi kwenye shughuli zao? arudi tena aone km hajavunjwa viuno vyote.
downloadfile-6.jpg
 
Sasa kama amekutwa kwenye eneo lisiloruhusiwa kisheria kaachiwa kwa sheria ipi. Kulikuwa na ugumu gani kwa polisi kutojibu barua yao watafute eneo lingine.Kumbe polisi walikuwa sahihi kusema walipewa maagizo kutoka juu? Viongozi yawekeni mambo sawa kwa ustawi la Taiga na vizazi vijavyo
 
Serikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Heche amekamatwa kutokana na kuendesha mkutano katika eneo lisiloruhusiwa kisheria.

Chalamila amesema ni muhimu wanasiasa kuheshimu taratibu za kufanya mikutano ya hadhara na kwamba sheria itachukua mkondo wake kwa yeyote atakayekiuka.

Aidha, Chalamila amezungumzia tetesi za kuwapo kwa kundi la watu wanaopanga kufanya maandamano tarehe 24 mwezi huu, akisisitiza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga kuhakikisha amani inadumishwa. Ametoa wito kwa wananchi kufuata sheria na kuepuka kushiriki katika mikusanyiko isiyo halali.

Serikali imesisitiza kuwa haitafumbia macho vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha utulivu wa nchi.

Anajitoa ufahamu
Ccm ikifanya mkutano kariakoo ni sawa
Ila wakifanya wengine si sawa!
Aache upumbavu.
 
Ht km ni mwehu utamlinganishaje Waziri Mkuu na mhuni asiyewajibika kwa lolote kwa wananchi? Uvute bangi zako huko unaenda kuvuruga wananchi kwenye shughuli zao? arudi tena aone km hajavunjwa viuno vyote.
Nonsense!
 
well done RC,

we jitu ropokaji litoke tarime huko lije kufanya fujo eneo la biashara dar es salaam,

that's completely nonsense 🐒
Nonsense ni wewe! Wapemba waliojaa Kariakoo umeona wana thamani kuliko Mkuria wa Tarime? Foolish, hii Nchi ni ya wote. Mwl. Nyerere aliiacha nchi isiyo na ubaguzi, leo mmeanza ubaguzi kwa sababu ya vipesa vya wizi, rushwa za uchaguzi na ufisadi. Iko siku yaja.
 
Serikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Heche amekamatwa kutokana na kuendesha mkutano katika eneo lisiloruhusiwa kisheria.

Chalamila amesema ni muhimu wanasiasa kuheshimu taratibu za kufanya mikutano ya hadhara na kwamba sheria itachukua mkondo wake kwa yeyote atakayekiuka.

Aidha, Chalamila amezungumzia tetesi za kuwapo kwa kundi la watu wanaopanga kufanya maandamano tarehe 24 mwezi huu, akisisitiza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga kuhakikisha amani inadumishwa. Ametoa wito kwa wananchi kufuata sheria na kuepuka kushiriki katika mikusanyiko isiyo halali.

Serikali imesisitiza kuwa haitafumbia macho vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha utulivu wa nchi.

Sababu ya kitoto sana hii, ye angesema wanachofanya ni kuizuia CDM pekee basi
 
Nonsense ni wewe! Wapemba waliojaa Kariakoo umeona wana thamani kuliko Mkuria wa Tarime? Foolish, hii Nchi ni ya wote. Mwl. Nyerere aliiacha nchi isiyo na ubaguzi, leo mmeanza ubaguzi kwa sababu ya vipesa vya wizi, rushwa za uchaguzi na ufisadi. Iko siku yaja.
relax and calm down gentleman,

wewe umeona hao wote ulowataja wanaleta fujo kwenye biashara za watu, maeneo ya biashara au masoko?

apeleke uropokaji na fujo zake tarime, alaaaa🐒
 
huenda aliambatana na vibaka waporaji wengi, kitu ambacho kina hatarisha amani ya wateja na wafanyibiasha wenyewe.

na sio kitu kizuri kuruhusu siasa ambazo ni wazi zina fujo na vurugu 🐒
Mkuu tatzo sio chadema tatizo ni ccm na serikali yake kutokukifuta chama cha chadema na vyama vyote vya upinzani. Ukizingatiaa ccm inatosha kuongoza daima na inakubalika na wananchi wengi/wote hasa humu JF.
 
kua na subra gentlema,
chadema itafuatwa kwa utaratibu na kwa mujibu wa sheria before 2030.
kamueleze na mwenyekiti wa chama chao bila kificho :NoGodNo:
 
Serikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Heche amekamatwa kutokana na kuendesha mkutano katika eneo lisiloruhusiwa kisheria.

Chalamila amesema ni muhimu wanasiasa kuheshimu taratibu za kufanya mikutano ya hadhara na kwamba sheria itachukua mkondo wake kwa yeyote atakayekiuka.

Aidha, Chalamila amezungumzia tetesi za kuwapo kwa kundi la watu wanaopanga kufanya maandamano tarehe 24 mwezi huu, akisisitiza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga kuhakikisha amani inadumishwa. Ametoa wito kwa wananchi kufuata sheria na kuepuka kushiriki katika mikusanyiko isiyo halali.

Serikali imesisitiza kuwa haitafumbia macho vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha utulivu wa nchi.

Mleta mada na RC Chalamila wanapotosha umma kwa kisingizio cha "eneo lisiloruhusiwa kisheria" bila kutaja ni sheria ipi imevunjwa. Kisheria, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 18 na 20 inampa kila raia haki ya kutoa maoni na kufanya mikusanyiko ya amani. Sheria ya Vyama vya Siasa Sura ya 258, hususan baada ya maamuzi ya mahakama mwaka 2023, hairuhusu polisi au viongozi wa serikali kupiga marufuku mikutano ya kisiasa kwa kigezo cha eneo au muda, bali inawataka watoe usaidizi wa kiusalama baada ya kupokea taarifa—notisi, si kibali.

Kwa mantiki hiyo, kama Heche alitoa taarifa kwa mujibu wa sheria, basi hoja ya “eneo lisiloruhusiwa” haina mashiko kisheria—ni batili na inaakisi matumizi mabaya ya madaraka. Kama hakukuwa na vurugu wala uchochezi, kukamatwa kwake ni uvunjaji wa haki za msingi, na hoja ya Chalamila haina msingi wa kisheria wala mantiki ya utawala wa sheria.

Mikutano ya kisiasa ni halali, siyo ridhaa ya serikali. Katiba ni sheria mama—haiwezi kufunikwa na matamko ya kima Chalamila yasiyo na msingi wa kisheria!
 
Back
Top Bottom