Joto linazidi kupanda. Ni swala la muda tu sasa!. Hakuna namna nyingine tena.CCM chama tawala babuu
Maandishi sasa yapo wazi kwenu kuyasoma kwenye ukuta. Hata ukikaza shingo vipi, hatma yenu sasa ipo wazi.
Joto linazidi kupanda. Ni swala la muda tu sasa!. Hakuna namna nyingine tena.CCM chama tawala babuu
Ila dunia ina zunguka na maisha yanakwenda speed sana! Kwa vile polisi wapo na intelijensia, wangewataarifu tu mapema kwamba wasije kufanyia mkutano wao hapo sokoni, wayafute sehemu nyingine. Kuwaruhusu wafike hapo na baadae kuwazuia ingeweza kuleta shida zaidihata ikiwa walitoa taarifa miezi mi2 iliyopita,
unafanyaje mkutano wa kisiasa wenye kila aina ya shari ndani ya eneo la soko ambalo biashara linafanyika 24/7 na lenye msongamano wa wateja?
kwanini kibaka mropokaji aruhusiwe kuja na vibaka wake kuhatarisha amani za wateja na wafanyibiasha katika eneo hilo?
hiyo haiwezekani bana 🐒
Mbona kuna Misikiti na Makanisa? Mbona Kuna makazi?Serikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Heche amekamatwa kutokana na kuendesha mkutano katika eneo lisiloruhusiwa kisheria.
Chalamila amesema ni muhimu wanasiasa kuheshimu taratibu za kufanya mikutano ya hadhara na kwamba sheria itachukua mkondo wake kwa yeyote atakayekiuka.
Aidha, Chalamila amezungumzia tetesi za kuwapo kwa kundi la watu wanaopanga kufanya maandamano tarehe 24 mwezi huu, akisisitiza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga kuhakikisha amani inadumishwa. Ametoa wito kwa wananchi kufuata sheria na kuepuka kushiriki katika mikusanyiko isiyo halali.
Serikali imesisitiza kuwa haitafumbia macho vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha utulivu wa nchi.
View attachment 3312629
Relax and calm down gentleman,Simply you are as good as a Shit. Kwa hiyo wewe zumbukuku ndio unawapangia Watanganyika wapi wazungumze???
Another stupid fishNenda kariakoo ukaulize
Hili zwazwaa lina domowasha na kiherehere kama bashit na wahasira na kabundiSerikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Heche amekamatwa kutokana na kuendesha mkutano katika eneo lisiloruhusiwa kisheria.
Chalamila amesema ni muhimu wanasiasa kuheshimu taratibu za kufanya mikutano ya hadhara na kwamba sheria itachukua mkondo wake kwa yeyote atakayekiuka.
Aidha, Chalamila amezungumzia tetesi za kuwapo kwa kundi la watu wanaopanga kufanya maandamano tarehe 24 mwezi huu, akisisitiza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga kuhakikisha amani inadumishwa. Ametoa wito kwa wananchi kufuata sheria na kuepuka kushiriki katika mikusanyiko isiyo halali.
Serikali imesisitiza kuwa haitafumbia macho vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha utulivu wa nchi.
View attachment 3312629
Another stupid fish
Gentleman,Ila dunia ina zunguka na maisha yanakwenda speed sana! Kwa vile polisi wapo na intelijensia, wangewataarifu tu mapema kwamba wasije kufanyia mkutano wao hapo sokoni, wayafute sehemu nyingine. Kuwaruhusu wafike hapo na baadae kuwazuia ingeweza kuleta shida zaidi
Gentleman,
unaweza kuruhusiwa kufanya jambo lolote Tanazania kulingana na dhamira ya maombi yako, lakini ukibadili dhamira kwa kuashiria ushari kwa maneno na matendo yako,
ruhusa ya maombi yako inakua null and void completely 🐒
Mbona kuna makanisa? 😁
Kariakoo na Manzese hazina tofauti yoyote 😂😂Makanisa, misikiti na masoko ni huduma za kijamii, sema K/koo ni mseto😁.
More than painWakifanya cm sawa ila cdm ni sehemu ya bishara?
Hako ka Tlaatlaah ni kataahira achana nako mkuu! Nilikuwaga nakagegeda nikaamua kukabwaga!Simply you are as good as a Shit. Kwa hiyo wewe zumbukuku ndio unawapangia Watanganyika wapi wazungumze???
relax gentleman 🐒
Kichwa mviringoSerikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Heche amekamatwa kutokana na kuendesha mkutano katika eneo lisiloruhusiwa kisheria.
Chalamila amesema ni muhimu wanasiasa kuheshimu taratibu za kufanya mikutano ya hadhara na kwamba sheria itachukua mkondo wake kwa yeyote atakayekiuka.
Aidha, Chalamila amezungumzia tetesi za kuwapo kwa kundi la watu wanaopanga kufanya maandamano tarehe 24 mwezi huu, akisisitiza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga kuhakikisha amani inadumishwa. Ametoa wito kwa wananchi kufuata sheria na kuepuka kushiriki katika mikusanyiko isiyo halali.
Serikali imesisitiza kuwa haitafumbia macho vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha utulivu wa nchi.
Jamaa boya sanaKASIMU MAJALIWA ANAFANYA MIKUTANO HAPO KILA SIKU