PreGE2025 Chalamila: Kariakoo ni eneo la biashara siyo sehemu ya kufanyia mikutano ya hadhara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CCM chama tawala babuu
Joto linazidi kupanda. Ni swala la muda tu sasa!. Hakuna namna nyingine tena.

Maandishi sasa yapo wazi kwenu kuyasoma kwenye ukuta. Hata ukikaza shingo vipi, hatma yenu sasa ipo wazi.
 
Ila dunia ina zunguka na maisha yanakwenda speed sana! Kwa vile polisi wapo na intelijensia, wangewataarifu tu mapema kwamba wasije kufanyia mkutano wao hapo sokoni, wayafute sehemu nyingine. Kuwaruhusu wafike hapo na baadae kuwazuia ingeweza kuleta shida zaidi
 
Mbona kuna Misikiti na Makanisa? Mbona Kuna makazi?
 
Simply you are as good as a Shit. Kwa hiyo wewe zumbukuku ndio unawapangia Watanganyika wapi wazungumze???
Relax and calm down gentleman,

mayhem are always nonsense 🐒
 
Hili zwazwaa lina domowasha na kiherehere kama bashit na wahasira na kabundi
 
Gentleman,
unaweza kuruhusiwa kufanya jambo lolote Tanazania kulingana na dhamira ya maombi yako, lakini ukibadili dhamira kwa kuashiria ushari kwa maneno na matendo yako,

ruhusa ya maombi yako inakua null and void completely 🐒
 
Kuna mwanamke Malaya sana anaitwa Chalamila,ni RC..utajiuliza how come mwanamke mjinga mjinga ka take over dar??mshamba wa kiasi chake..alisaidiwa Sana na Rais(kabebwa uwezo sifuri)..

RC(RayC)=Rehema Chalamila..
 
Gentleman,
unaweza kuruhusiwa kufanya jambo lolote Tanazania kulingana na dhamira ya maombi yako, lakini ukibadili dhamira kwa kuashiria ushari kwa maneno na matendo yako,

ruhusa ya maombi yako inakua null and void completely 🐒

Kwani wewe ni gombe?

 
Jokate, kadimu majaliwa, Suleiman Jaffo wotea hao mara Kwa mara wanafanya mikutano hapo....akifanya mtoto wako ni sahihi ila akifanya mtoto wa jirani ni dhambi sawa
 
Simply you are as good as a Shit. Kwa hiyo wewe zumbukuku ndio unawapangia Watanganyika wapi wazungumze???
Hako ka Tlaatlaah ni kataahira achana nako mkuu! Nilikuwaga nakagegeda nikaamua kukabwaga!
 
Kichwa mviringo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…