Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,999
- 7,928
You’re f—king ass-holeSerikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Heche amekamatwa kutokana na kuendesha mkutano katika eneo lisiloruhusiwa kisheria.
Chalamila amesema ni muhimu wanasiasa kuheshimu taratibu za kufanya mikutano ya hadhara na kwamba sheria itachukua mkondo wake kwa yeyote atakayekiuka.
Aidha, Chalamila amezungumzia tetesi za kuwapo kwa kundi la watu wanaopanga kufanya maandamano tarehe 24 mwezi huu, akisisitiza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga kuhakikisha amani inadumishwa. Ametoa wito kwa wananchi kufuata sheria na kuepuka kushiriki katika mikusanyiko isiyo halali.
Serikali imesisitiza kuwa haitafumbia macho vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha utulivu wa nchi.
Ht km ni mwehu utamlinganishaje Waziri Mkuu na mhuni asiyewajibika kwa lolote kwa wananchi? Uvute bangi zako huko unaenda kuvuruga wananchi kwenye shughuli zao? arudi tena aone km hajavunjwa viuno vyote.
Huu ni upuuziCCM chama tawala babuu
Sasa kama amekutwa kwenye eneo lisiloruhusiwa kisheria kaachiwa kwa sheria ipi. Kulikuwa na ugumu gani kwa polisi kutojibu barua yao watafute eneo lingine.Kumbe polisi walikuwa sahihi kusema walipewa maagizo kutoka juu? Viongozi yawekeni mambo sawa kwa ustawi la Taiga na vizazi vijavyoSerikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Heche amekamatwa kutokana na kuendesha mkutano katika eneo lisiloruhusiwa kisheria.
Chalamila amesema ni muhimu wanasiasa kuheshimu taratibu za kufanya mikutano ya hadhara na kwamba sheria itachukua mkondo wake kwa yeyote atakayekiuka.
Aidha, Chalamila amezungumzia tetesi za kuwapo kwa kundi la watu wanaopanga kufanya maandamano tarehe 24 mwezi huu, akisisitiza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga kuhakikisha amani inadumishwa. Ametoa wito kwa wananchi kufuata sheria na kuepuka kushiriki katika mikusanyiko isiyo halali.
Serikali imesisitiza kuwa haitafumbia macho vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha utulivu wa nchi.
Anajitoa ufahamuSerikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Heche amekamatwa kutokana na kuendesha mkutano katika eneo lisiloruhusiwa kisheria.
Chalamila amesema ni muhimu wanasiasa kuheshimu taratibu za kufanya mikutano ya hadhara na kwamba sheria itachukua mkondo wake kwa yeyote atakayekiuka.
Aidha, Chalamila amezungumzia tetesi za kuwapo kwa kundi la watu wanaopanga kufanya maandamano tarehe 24 mwezi huu, akisisitiza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga kuhakikisha amani inadumishwa. Ametoa wito kwa wananchi kufuata sheria na kuepuka kushiriki katika mikusanyiko isiyo halali.
Serikali imesisitiza kuwa haitafumbia macho vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha utulivu wa nchi.
kinatawala lakini hakina raha ya kutawalaCCM chama tawala babuu
Nonsense!Ht km ni mwehu utamlinganishaje Waziri Mkuu na mhuni asiyewajibika kwa lolote kwa wananchi? Uvute bangi zako huko unaenda kuvuruga wananchi kwenye shughuli zao? arudi tena aone km hajavunjwa viuno vyote.
Nonsense ni wewe! Wapemba waliojaa Kariakoo umeona wana thamani kuliko Mkuria wa Tarime? Foolish, hii Nchi ni ya wote. Mwl. Nyerere aliiacha nchi isiyo na ubaguzi, leo mmeanza ubaguzi kwa sababu ya vipesa vya wizi, rushwa za uchaguzi na ufisadi. Iko siku yaja.well done RC,
we jitu ropokaji litoke tarime huko lije kufanya fujo eneo la biashara dar es salaam,
that's completely nonsense 🐒
Sababu ya kitoto sana hii, ye angesema wanachofanya ni kuizuia CDM pekee basiSerikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Heche amekamatwa kutokana na kuendesha mkutano katika eneo lisiloruhusiwa kisheria.
Chalamila amesema ni muhimu wanasiasa kuheshimu taratibu za kufanya mikutano ya hadhara na kwamba sheria itachukua mkondo wake kwa yeyote atakayekiuka.
Aidha, Chalamila amezungumzia tetesi za kuwapo kwa kundi la watu wanaopanga kufanya maandamano tarehe 24 mwezi huu, akisisitiza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga kuhakikisha amani inadumishwa. Ametoa wito kwa wananchi kufuata sheria na kuepuka kushiriki katika mikusanyiko isiyo halali.
Serikali imesisitiza kuwa haitafumbia macho vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha utulivu wa nchi.
relax and calm down gentleman,Nonsense ni wewe! Wapemba waliojaa Kariakoo umeona wana thamani kuliko Mkuria wa Tarime? Foolish, hii Nchi ni ya wote. Mwl. Nyerere aliiacha nchi isiyo na ubaguzi, leo mmeanza ubaguzi kwa sababu ya vipesa vya wizi, rushwa za uchaguzi na ufisadi. Iko siku yaja.
Mkuu tatzo sio chadema tatizo ni ccm na serikali yake kutokukifuta chama cha chadema na vyama vyote vya upinzani. Ukizingatiaa ccm inatosha kuongoza daima na inakubalika na wananchi wengi/wote hasa humu JF.huenda aliambatana na vibaka waporaji wengi, kitu ambacho kina hatarisha amani ya wateja na wafanyibiasha wenyewe.
na sio kitu kizuri kuruhusu siasa ambazo ni wazi zina fujo na vurugu 🐒
kua na subra gentlema,Mkuu tatzo sio chadema tatizo ni ccm na serikali yake kutokukifuta chama cha chadema na vyama vyote vya upinzani. Ukizingatiaa ccm inatosha kuongoza daima na inakubalika na wananchi wengi/wote hasa humu JF.
Mleta mada na RC Chalamila wanapotosha umma kwa kisingizio cha "eneo lisiloruhusiwa kisheria" bila kutaja ni sheria ipi imevunjwa. Kisheria, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 18 na 20 inampa kila raia haki ya kutoa maoni na kufanya mikusanyiko ya amani. Sheria ya Vyama vya Siasa Sura ya 258, hususan baada ya maamuzi ya mahakama mwaka 2023, hairuhusu polisi au viongozi wa serikali kupiga marufuku mikutano ya kisiasa kwa kigezo cha eneo au muda, bali inawataka watoe usaidizi wa kiusalama baada ya kupokea taarifa—notisi, si kibali.Serikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam.