Chalamila karibu Dar, jiji hili linataka mtu mtata na mwenye matata kama wewe

Chalamila karibu Dar, jiji hili linataka mtu mtata na mwenye matata kama wewe

Wazaramo walishauza Ardhi zao za Dar sasa hivi wengi wapo pembezoni mwa Dar huko Nsangangongele, Mwalusembe na kwengineko
Comment ya kijamaa Cha mkoani kinachokataa kutambua Dar sio kwao mpaka maiti yake itakaposafirishwa!🤣
 
Comment ya kijamaa Cha mkoani kinachokataa kutambua Dar sio kwao mpaka maiti yake itakaposafirishwa!🤣
Dar ndio ni ya wazaramo Ila wazaramo hawaishi Dar wanaishi pembezoni huko machakani machakani mji wanawaachia matajiri wajenge maghorofa hakuna mzaramo mwenye ubavu wa kujenga ghorofa,
 
Dar ndio ni ya wazaramo Ila wazaramo hawaishi Dar wanaishi pembezoni huko machakani machakani mji wanawaachia matajiri wajenge maghorofa hakuna mzaramo mwenye ubavu wa kujenga ghorofa,
Utakuwa umezaliwa Kijijini ambapo Kila mtu anaongea kilugha! Wazaramo muda wote wanaongeza kiswahili kwa hiyo unashindwa kuwabaini. Dar CBD Ina maghorofa ya serikali na taasisi kuanzia postal mpaka mnazi Mmoja,Upanga. Kariakoo kuna maghorofa mengi ya wahindi na Waarabu walionunua kwa hao unaowasema na mengine wameishia ubia na wenye Mali waliokuja kujanjaruka, kumbuka nyingine ni national housing. Baada ya hapo (Ilala,Temeke,Kigamboni,Ubungo na kinondoninkwenda Pwani Bado Kuna nyumba nyingi za wenyeji.

Wazaramo sio wagogo au wasafwa wa Mbeya.
 
Wazaramo sio wagogo au wasafwa wa Mbeya.
Dar born town kitambo sijui km ulizaliwa Ila kukupanulia kwa nyuma nimezaliwa Sinza kwa Wajanja hospital inaitwa Palestina enzi hizo kule kote kumejaa mapori tupo hakuna barabara ya lami ni vumbi tupu hata hio Sam Najumo unayoona Ina lami leo ilikua ni vumbi tupu, ongea lingine nakusikiliza kujifanya kujua au nikusimulie ya Mdundiko na kuwatia wali wa kizaramo unyago, utaniambia nini nisichokijua wewe ? Nimezaliwa Dar kitambo naujua huu mji asee jiangalie, wazaramo waliobaki ni wachache hasa wale waliokua walifanya kazi kwenye mashirika ndio wamebaki Mjini wengine wote wamekimbilia pembezoni huko
 
Jiji la Dar es Salaam ndilo jiji lenye amsha amsha kuliko jiji lingine lolote. Ndilo jiji lenye bandari kubwa nchini, uwanja wa ndege mkubwa, barabara za kutoka sehemu zote nchini huishia Dar.

Dar ni jiji la maraha na karaha pia. Matapeli, vibaka, majambazi, wezi, na machanguduoa pia.

Mitume na manabii wenye maji ya upako, mafuta, ubuyu wa upako, mafenesi ya upako na chupi zinazosababisha wagumba washike mimba vyote vinapatikana Dar.

Dar kuna panya Road waliokulia katika nyumba za polisi na nyumba za viongozi wa dini.

Dar kila mtu ni afisa wa ikulu, tena bosi. Machinga wa Dar ana Range Rover Sport analia bata mtaani.

Karibu sana Chalamila, hapa ndio nyumbani kabisa kwa kina Tulinawe Kamwela mliyekuwa naye Iringa Tumaini University.

maggid naye kwake Iringa ila mishe ndio zimemleta Dar. Naamini ujio wako Dar ni wa kudumu. Sisi Wazaramo ni wakarimu sana.

Karibu utuhudumie kwa utumishi uliotukuka.
Kengerua wewe acha kujipendekeza mbona alivyopigwa chini kule Mwanza uliufyata
 
Sijawahi kufika dar....nimezaliwa hapa hapa
 
Dar born town kitambo sijui km ulizaliwa Ila kukupanulia kwa nyuma nimezaliwa Sinza kwa Wajanja hospital inaitwa Palestina enzi hizo kule kote kumejaa mapori tupo hakuna barabara ya lami ni vumbi tupu hata hio Sam Najumo unayoona Ina lami leo ilikua ni vumbi tupu, ongea lingine nakusikiliza kujifanya kujua au nikusimulie ya Mdundiko na kuwatia wali wa kizaramo unyago, utaniambia nini nisichokijua wewe ? Nimezaliwa Dar kitambo naujua huu mji asee jiangalie, wazaramo waliobaki ni wachache hasa wale waliokua walifanya kazi kwenye mashirika ndio wamebaki Mjini wengine wote wamekimbilia pembezoni huko
Kwenu/Kijijini kwenu au mkoani kwenu ni wapi?

Shida ya hilo swali Kwa vijana wengi waliolowea Dar kwa kuhamia au kuzaliwa ndio linaloza hoja ya Wazaramo wamehamishwa so wanademand U-Dar es salaam. Wanaona wakitaja wanakotoka wataonekana washamba! Miongoni mwao ni wewe!
 
Makabila yote ya huu ulimwengu na tamaduni zao wapo hapa Dar! Mkuu wa mkoa imejiandaa?? Huko Kigoma Kuna aliyesema amejiandaa akalazwa nje usiku, akanyoosha mikono juu na kusarenda.
 
Back
Top Bottom