Chalamila kutumia askari (mlinzi wake) kwa suala binafsi la Mkesha wa Mwamposa baada ya muda wa kazi ni unyanyasaji kwa askari huyo, akemewe!

Chalamila kutumia askari (mlinzi wake) kwa suala binafsi la Mkesha wa Mwamposa baada ya muda wa kazi ni unyanyasaji kwa askari huyo, akemewe!

Kwani mlinzi ana saa za kulinda au hao wanaomlinda ili asipate cha kumpata (yaani hicho cha kumpata kina muda maalumu)?

Labda tu tungesema kuokoa Kodi zetu walinzi wote wangeondolewa mtu akitaka mlinzi basi atumie mshahara wake huenda ingewasaidia kuishi vizuri zaidi na raia (after all wanajilinda na nini)? Mbona Maboss wao kina mama lishe hawalindwi...
 
Kwenda ibadani ni jambo private. Polisi tena mwenye uniform anahusikaje?

Hapo hayupo kuiwakilisha serikali. Yupo kwa ajili ya kuabudu na kuomba ambalo ni jambo binafsi halihusiani na serikali.

He should hire private security na sio kutumia kodi yangu kwa safari zake binafsi.
 
Wakuu,

Najua mtakuja na motoo kuwashukia askari kuhusu utekaji na mazonge yao mengine, hayo tuyaweke pembeni, hayahusiki kwenye muktadha huu. Hata kama kati yao wapo washenzi (ashakum) naamini wengi tunaweza kutestify kuwa wapo waliobora waliotuhudumia na kutusave pakubwa tulipopata majanga. Twende kwenye mada

Kama tunavyopiga kelele wwngine wanavyonyanyaswa na matumizi mabaya ya madaraka kwenye muasuala mengine tupige kelele pia na hapa.

Ninavyofahamu walinzi hawa pia wanapumzika, siyo mashine kusema kuwa hawachoki na wanafanya kazi saa 24.

Chalamila kumtumia askari wake (na kama viongozi waliokuwwpo kwenye ibada hiyo walifanya hivyo) kwenye shughuli zake binafsi za kwenda kupikwa kwaajili ya 2025 (mkija na mapovu comments ziwe fupifupi:BearLaugh::BearLaugh:) ni matumizi mabaya ya madaraka na unyanyasaji kwa mtumishi huyo, unaotakiwa kukemewa kwa nguvu zote.

View attachment 3176486

Na ubaya ni kwamba askari hawezi kugoma, atafanya kazi mambo yaishe.

Nashangaa hata kwa nini bado huyu jamaa yupo ofisini na makandokando yote amefanya, katika watu wana maadili 0 kwenye utumishi ni huyu. Kwa hili hapana, anastahili kuwajibika.

Naomba tubalance shobo, na tuwe objective kwenye hili.

Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah msijifanyee hamjaona uzii huu

Mbaga Jr
friends, ladies and gentlemen,

suala la ulinzi kwa viongozi waandamizi wa serikali ni muhimu sana na ni la 24/7hrs.

na hiyo ni kwa mujibu wa sheria kwa viongozi wote wa umma.
sasa ulitaka huyo mlinzi abaki nyumbani kulinda nini na anaetakiwa kulindwa yupo kwenye mkesha?

kwa huyo kiongozi wa mkesha walinzi wake walikua wamelala nyumbani au walikua wanalinda nyumba wakati wanae mlinda yuko kwenye mkesha?

Infact,
suala la ulinzi wa wananchi, raia, watu, mali na na makazi yao ni suala mtambuka na linafanyika usiku na mchana ili hatimae amani, usalama na utulivu wa waTanzania unakua protected 24/7 bila mbambamba yoyote.

hakuna mjadala kwenye hili.
usalama na amani ya vingozi na wananchi waote Tanzanaia italindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile.

Naomba dunia ielewwe hivyo.
Asanteni sana kwa kunisikuliza.🐒

Jamuhiri ya Muungano wa Tanzania............
 
Kwenda ibadani ni jambo private. Polisi tena mwenye uniform anahusikaje?

Hapo hayupo kuiwakilisha serikali. Yupo kwa ajili ya kuabudu na kuomba ambalo ni jambo binafsi halihusiani na serikali.

He should hire private security na sio kutumia kodi yangu kwa safari zake binafsi.
Rudia kusoma kama sijasema kama ni issue ya pesa basi wawe na security private kwa mshahara wao sababu kama ni ulinzi / mlinzi basi hakuna muda muafaka wa kulindwa au shida na matatizo yanatokea tu mida ya kazi ? Kwamba akiwa off au baada ya muda wa kazi umeisha na hao wanaoweza kumdhuru pia wanakuwa off ?
 
Dini yake haituhusu, muhimu sheria ifatwe, akiwa kwenye mambo yake askari yupo entitled kuwa relieved of duties mpaka wakati mwingine muda wake unapoanza
Swali langu la kwanza kule juu kabisa; mkuu wa mkoa muda wake wa kazi unaishia saa ngapi? Again lazima tuelewe kitu 1, sheria inayo yalinda maandamano na mikutano ya wana siasa ndio hiyo hiyo inayotumika kwenye mikutano ya kidini, anything after 1800 hours lazima kupewa kibali maalumu na hapo ndio panapotakiwa ulinzi; RC ndio mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kwa mkoa wake. Humuoni same Chalamila kwenye mikutano ya Waislam? Tena anapigaga na mavazi ya mashariki ya kati, unadhani anaendaga pale kusali? No! Anakwenda kama mlinzi mkuu wa mkoa wake and alipo na board guard wake atakuwepo, hivo tu
 
Kwamba Kikatiba mkuu wa mkoa anatakiwa achukue Polisi kwa ajili ya mambo yake binafsi?

Hiyo ni Katiba ya nchi gani?
Je, Rais hachukui ulinzi akiwa popote? Katiba inatambua ulinzi wa wakuu wa nchi na maeneo. Rais (Tanzania nzima); Mkuu wa Mkoa (Mkoa wake) na Mwenyekiti wa Kijiji/Mtaa (Kijiji/Mtaa wake)! Kikatiba wana bunduki zao na wapambe Kikatiba. Rais-JWTZ; Mkuu wa Mkoa-Polisi; na Mwenyekiti wa Kijiji Bunduki moja na Mgambo wake!
 
Wakuu,

Najua mtakuja na motoo kuwashukia askari kuhusu utekaji na mazonge yao mengine, hayo tuyaweke pembeni, hayahusiki kwenye muktadha huu. Hata kama kati yao wapo washenzi (ashakum) naamini wengi tunaweza kutestify kuwa wapo waliobora waliotuhudumia na kutusave pakubwa tulipopata majanga. Twende kwenye mada

Kama tunavyopiga kelele wwngine wanavyonyanyaswa na matumizi mabaya ya madaraka kwenye muasuala mengine tupige kelele pia na hapa.

Ninavyofahamu walinzi hawa pia wanapumzika, siyo mashine kusema kuwa hawachoki na wanafanya kazi saa 24.

Chalamila kumtumia askari wake (na kama viongozi waliokuwwpo kwenye ibada hiyo walifanya hivyo) kwenye shughuli zake binafsi za kwenda kupikwa kwaajili ya 2025 (mkija na mapovu comments ziwe fupifupi:BearLaugh::BearLaugh:) ni matumizi mabaya ya madaraka na unyanyasaji kwa mtumishi huyo, unaotakiwa kukemewa kwa nguvu zote.

View attachment 3176486

Na ubaya ni kwamba askari hawezi kugoma, atafanya kazi mambo yaishe.

Nashangaa hata kwa nini bado huyu jamaa yupo ofisini na makandokando yote amefanya, katika watu wana maadili 0 kwenye utumishi ni huyu. Kwa hili hapana, anastahili kuwajibika.

Naomba tubalance shobo, na tuwe objective kwenye hili.
Kheee
 
Kwamba Kikatiba mkuu wa mkoa anatakiwa achukue Polisi kwa ajili ya mambo yake binafsi?

Hiyo ni Katiba ya nchi gani?
Hujamjibu sexles pale juu! Amesema samia akienda kwenye ibada atakuwa amekwenda kama samia au Rais wa nchi?
 
GT najuwa unavyowashangaa wabongo walivyo wajinga.

Acha apigwe.
Yaani watu wanPigwa wajinga wengi kweli
Mwampesa anazidi kuwa bilionea soon atakuwa trilionea 😄

Ova
 
Yaani watu wanPigwa wajinga wengi kweli
Mwampesa anazidi kuwa bilionea soon atakuwa trilionea 😄

Ova
Suala la imani ni mtambuka, kama ambavyo wewe huamini na unajiona uko sahihi, na yule anayeamini anajiona sahihi pia. Utamuitaje mjinga?
 
Back
Top Bottom