Chalamila: Mwendokasi ina mabasi 60 tu, mara ya kwanza yalikuwa takribani 200"

Wazo zuri ila halitotatua kitu
 
Hapa ilitakiwa watu binafsi waingize magari yao , sema tu walipe Kodi Fulani ivi kubwa,yaani mwenye uwezo wa kuingiza gari aweke na yawe na rangi aina moja na sifa moja watu wabake kushindana kibiashara basi Ila mtu ama kampuni na huku Haina ushindani ni kazi bure kwenyynchi hii watu Wana njaa Kila mmoja anawaza kuiba Mana hakimtoshi alicho nacho
 
Mabasi yanajaa mpaka watu wanapitia dirishani lakini faida hamna.Kama Mtanzania naanza na kujitukana.Kmamayo zetu Watanzania kwa upumbavu wa kufuga wezi.
 
Inamana mabasi 140 yamekufa Toka mwendo Kasi uanze harafu Kuna tajiri ana eache zake kabla hata mwendo Kasi hazijaja na mpka Leo zipo barabarani ooh tumekumisi Jiwe pumzika kwa aman
Msukuma aliomba apewe aendeshe hiyo biashara kama anavyoendesha ya kwake, hawakumwelewa
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amefanya ziara kituo cha mwendokasi Kimara na kukuta changamoto ya uendeshwaji mbovu wa huduma, ikiwa idadi ya mabasi yanayofanya kazi ni 60 kati ya mabasi 200 yaliyoletwa mara ya kwanza.



Kweli tunaupiga mwingi....tunaenda tena kukopa na kujipongeza. Bila kujiuliza nini kimetufikisha hapo? na nani anayewajibika.
Ina maana hata yakija mengine 200, hali inaweza kujirudia kama hatujui kilichichisababisha haya mengine kufa
 
Chalamila anasema amefika hapo mapema ---- huu ndo utapeli wa kwanza wa viongozi wetu.
 
Mabasi yanajaa mpaka watu wanapitia dirishani lakini faida hamna.Kama Mtanzania naanza na kujitukana.Kmamayo zetu Watanzania kwa upumbavu wa kufuga wezi.
Jiulize hizo nauli zinaenda wapi kama si watu wanamikoba miwili miwili , zikiingia Kwa mkoba wa serikali mkono wakushoto unahamishia mkoba wa pili basi.
 
BRAAADDII FWAKEENNNNN
Mtu mweusi akikabithiwa mradi mkubwa tu yaan anakakikisha anausiraaa wee nakuhakukikisha unakufa
#UpuuziUnaendele
#TanzaniaAmka
#BackBencher
 
Kwa bajeti gani mkuu ya kuweza kuendesha miodominu ya trams.Labda tuchapwe viboko na kutawaliwa.
inawezekana mkuu, hata tuna design treni ya sgr ya umeme chadema walisema haiwezekani tena henche akiwa mbunge
 
Hizi ndio akili za kina Maharage, halafu mnajiona ma-genius kuliko watu wote milioni 60 hapa TZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…