Chalamila: Mwendokasi ina mabasi 60 tu, mara ya kwanza yalikuwa takribani 200"

Chalamila: Mwendokasi ina mabasi 60 tu, mara ya kwanza yalikuwa takribani 200"

DART Mwendokasi naona chalamila anauliza maswali yanayoulizwa kwenye uzi wako.

Mnaagiza magari na hamjui yatakuja lini.
mkuu mambo mengine ya hovyo tu, bus gani 9 years liko wright off? kuna polo za scandinavia ziko barabarani hadi leo, kama yako wrightoff watuuzie milioni mbilimbili kama sio baada ya mwezi utayakuta wanapiga dar songea, kweli engene ya commins inatembea kimara kariakoo ndani ya miaka tisa iwe imechakaa kweli? au mumetuona watu mahanithi au mumetuona tunashikishwaga ukuta
 
Nimepata wazo, viongozi wa DART wapelekwe London kama miezi 2 wajifunze kwa wenzao jinsi ya kuendesha public transportation system.
 
Tandika reli njia ya mwendokasi, weka kichwa kidogo cha treni na behewa za kutosha.

Saa kumi na moja alfajiri treni ya kwanza, saa kumi nambili ya pili, saa moja kamili trip ya tatu halafu inapaki yanaanza mabasi kuokota okota.

Ikifika saa kumi jioni treni tena trip tatu unapaki kuyaachia mabasi.
Treni linaokoa sana, jioni na asubuhi huwa naona kichwa kinavuta behewa 20 zitatoka au kuingia city centre. Nyomi kama lote.
Wale watu wakitumia gari zao ay daladala panakua hapatoshi.

Treni ni jawabu kuliko hizi mwendokasi, na uzuri zaidi halichukua nafasi kubwa.
 
🤣🤣🤣analaumu wafanyakazi.

Na bado, October mkatiki tena.

CCM pelekea moto Watanzania hadi akili ziwakae sawa.
 
Nimepata wazo, viongozi wa DART wapelekwe London kama miezi 2 wajifunze kwa wenzao jinsi ya kuendesha public transportation system.
kwanini tusiajiri management kutoka London?
 
1753377348642.jpeg
 
Nipeni huo mradi nilete bus za kutosha tuache story story za kila siku kazi nyepesi hiyo hakuna ushindani,trafiki,Latra wala kondakta kukimbia na nauli za watu mnashindwa vip..ukienda Scania SA ukawapa propasal ya hapo watakupa gari idadi unayotaka kama wanatoa truck kwa wasafirishaji kirahisi tu hapo si wataleta mzigo mpaka ntaukataa mwenyewe naitamani hiyo kazi ila kuipata ni ngumu mno..
 
watuwekee na mamalishe na vibanda vya mpesa kwenye vituo, na bodaboda ikiwezekana, unasimama huku mwanzoni bus linaenda simama mwishoni mnakimbizana kuwahi ukifika limeondoka
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amefanya ziara kituo cha mwendokasi Kimara na kukuta changamoto ya uendeshwaji mbovu wa huduma, ikiwa idadi ya mabasi yanayofanya kazi ni 60 kati ya mabasi 200 yaliyoletwa mara ya kwanza.


Hawa watu ni wakuondoa madarakani fisiemu wamefeli kila kitu kinakufa barabara mbovu sana mwendo kasi ndio byeeee. Imagine mabaiskeli yale yamenunukiwa kwa kodi za watanganyika nk ila mwrndo kasi ndio hivyo . NRNE
 
Nipeni huo mradi nilete bus za kutosha tuache story story za kila siku kazi nyepesi hiyo hakuna ushindani,trafiki,Latra wala kondakta kukimbia na nauli za watu mnashindwa vip..ukienda Scania SA ukawapa propasal ya hapo watakupa gari idadi unayotaka kama wanatoa truck kwa wasafirishaji kirahisi tu hapo si wataleta mzigo mpaka ntaukataa mwenyewe naitamani hiyo kazi ila kuipata ni ngumu mno..
Tatizo haya majizi yetu yatataka kupata asilimia zao. Huwa hawajali kuhusu wananchi wao. Na watu wenye mawazo mema kama yako wanaonekana maadui kwenye hili taifa.
 
😁😁😁😁😁 nchi ya vichekesho hi,juzi tu alitoka hapo waziri mkuu na kukuta mabac mengine yamejaa matope ndani na yamepak tu na hakukuwa na mabadiliko yyt ....😀😀,,Leo mkuu wa mkoa ,naye akiondoka hapo hkn mabadiliko ,kesho atakuja rais na Bado changamoto haitatulikii🤔🤔🤔🤔
Maana yake hao wote wanajua tatizo ni nini kilichobaki wanatuchezesha tuu.
 
Tandika reli njia ya mwendokasi, weka kichwa kidogo cha treni na behewa za kutosha.

Saa kumi na moja alfajiri treni ya kwanza, saa kumi nambili ya pili, saa moja kamili trip ya tatu halafu inapaki yanaanza mabasi kuokota okota.

Ikifika saa kumi jioni treni tena trip tatu unapaki kuyaachia mabasi.
Ujinga mtupu
Ujinga kwamba chalamila ndiye mjinga au ujinga kilichoandikwa hapo juu?

Fafanua kwanza kabla hatujasogea mbele kuitana maneno ya ajabu kwa kitu kilicho wazi.
 
Tatizo haya majizi yetu yatataka kupata asilimia zao. Huwa hawajali kuhusu wananchi wao. Na watu wenye mawazo mema kama yako wanaonekana maadui kwenye hili taifa.
Nilikua naongea na CEO wa Scania Borgsburg mwezi uliopita alicheka sana akanijubu katika kitu kigumu ni hicho unachofikiri kufanya Tanzania sisi wenyewe hatuwezi kwa kupitia wenzetu waliopo Daslm sio kwamba hawajui kuwa tunaweza ila kupata hiyo kazi ni ngumu mno...wakati kwa Johannesburg wanaweza kumwaga Bus mpaka tukazikataa kwa idadi yake jamaa wapo kazini muda wote eti abiria wanasubiri bus ambazo hazipo na kila kituo dakika chache tu unaona hesabu ya shilingi laki na nusu..
 
Tandika reli njia ya mwendokasi, weka kichwa kidogo cha treni na behewa za kutosha.

Saa kumi na moja alfajiri treni ya kwanza, saa kumi nambili ya pili, saa moja kamili trip ya tatu halafu inapaki yanaanza mabasi kuokota okota.

Ikifika saa kumi jioni treni tena trip tatu unapaki kuyaachia mabasi.
Ujenzi wa treni ya mzunguko jijini Dar es Salaam ni uwekezaji wa muda mrefu unaoweza kubadilisha kabisa mfumo wa usafiri wa jiji. Njia ya elevated light rail ni ya gharama ya kati na inaweza kufaa zaidi.

Treni zingekuwa suluhisho la kudumu na la kisasa kwa Dar es Salaam katika miaka ijayo. BRT ni suluhisho la muda mfupi hadi la kati, lakini kwa ongezeko la wakazi, treni ni lazima.
 
Back
Top Bottom