Chalamila: Mwendokasi ina mabasi 60 tu, mara ya kwanza yalikuwa takribani 200"

Chalamila: Mwendokasi ina mabasi 60 tu, mara ya kwanza yalikuwa takribani 200"

Tandika reli njia ya mwendokasi, weka kichwa kidogo cha treni na behewa za kutosha.

Saa kumi na moja alfajiri treni ya kwanza, saa kumi nambili ya pili, saa moja kamili trip ya tatu halafu inapaki yanaanza mabasi kuokota okota.

Ikifika saa kumi jioni treni tena trip tatu unapaki kuyaachia mabasi.
haiwezekan , treni inaenda upande mmoja wengine watasubiri sana mpaka wapate huduma
 
Serekali kuendesha miradi ni ngumusana,ingeingia ubia au kuibinafsisha tu,hata mradi wa sgr sizani kama uta simama na wenyewe
 
Sijakuelewa vizuri hebu fafanua hoja yako
kuna watu wanatoka kigamboni kwenda kimara wengine moroco kwenda kivukon wengine mbagala, sasa treni haiwezi kua effective route zote zaidi ya mabasi
 
Tandika reli njia ya mwendokasi, weka kichwa kidogo cha treni na behewa za kutosha.

Saa kumi na moja alfajiri treni ya kwanza, saa kumi nambili ya pili, saa moja kamili trip ya tatu halafu inapaki yanaanza mabasi kuokota okota.

Ikifika saa kumi jioni treni tena trip tatu unapaki kuyaachia mabasi.
Bonge la idea mkuu, ila huoni mradi utazidi tu kutafuna pesa na ubora wake mpaka sasa haujafikiwa?

Bus 140 hazifanyi kazi na hakuna ufatiliaji
 
Nilikua naongea na CEO wa Scania Borgsburg mwezi uliopita alicheka sana akanijubu katika kitu kigumu ni hicho unachofikiri kufanya Tanzania sisi wenyewe hatuwezi kwa kupitia wenzetu waliopo Daslm sio kwamba hawajui kuwa tunaweza ila kupata hiyo kazi ni ngumu mno...wakati kwa Johannesburg wanaweza kumwaga Bus mpaka tukazikataa kwa idadi yake jamaa wapo kazini muda wote eti abiria wanasubiri bus ambazo hazipo na kila kituo dakika chache tu unaona hesabu ya shilingi laki na nusu..
Noma sana mkuu. Hii nchi siku tukiondoa ccm tuta weza kutekeleza mawazo mema kama.haya mkuu. Hawa wanao tuongoza hawana kutujali kikubwa wao wana shiba kodi zetu. Inachekesha sana pale vituo vya mwendokasi watu ni wemgi sana na magari ya kusubiria masaa 3 mbele. Hatupo serious
 
Tandika reli njia ya mwendokasi, weka kichwa kidogo cha treni na behewa za kutosha.

Saa kumi na moja alfajiri treni ya kwanza, saa kumi nambili ya pili, saa moja kamili trip ya tatu halafu inapaki yanaanza mabasi kuokota okota.

Ikifika saa kumi jioni treni tena trip tatu unapaki kuyaachia mabasi.
Kweli mkuu na barabara za mwendo kasi wangejenga pembeni na siyo katika na wakati wanajenga hizo mwendo mkasi wangeweka na njia za reli, Viongozi wetu kils siku wanasafiri kwenda Ulaya lakini hawajifunzi lolote, Tatizo la viongozi wetu wanaanza kusafiri nje ya nchi wakishapata Uongozi, Nivizuri tungekua tunawapa vyeo Viongozi walioishi ulaya tokea wapo vijana. Kunautofauti kijana aliyeishi ulaya kwa miaka 15 na Kiongozi ambae kaishi itigi uko kama kapata uwaziri na kaanza kwenda Ulaya na anafikia Hotelini na kurudi nyumbani.
 
Ujenzi wa treni ya mzunguko jijini Dar es Salaam ni uwekezaji wa muda mrefu unaoweza kubadilisha kabisa mfumo wa usafiri wa jiji. Njia ya elevated light rail ni ya gharama ya kati na inaweza kufaa zaidi.

Treni zingekuwa suluhisho la kudumu na la kisasa kwa Dar es Salaam katika miaka ijayo. BRT ni suluhisho la muda mfupi hadi la kati, lakini kwa ongezeko la wakazi, treni ni lazima.
Hata uweke tren kwa ccm hii 🤣🤣🤣🤣
 
Wanaingia mkataba mgumu na wawekezaji utadhani wao ndio wamejenga hiyo bara bara mradi lazima usumbue tu..
 
Tandika reli njia ya mwendokasi, weka kichwa kidogo cha treni na behewa za kutosha.

Saa kumi na moja alfajiri treni ya kwanza, saa kumi nambili ya pili, saa moja kamili trip ya tatu halafu inapaki yanaanza mabasi kuokota okota.

Ikifika saa kumi jioni treni tena trip tatu unapaki kuyaachia mabasi.
Mjinga unahoja watu wataichukulia powa ila imetulia kimtaa eti mabasi yatakua yanaokotaokota hH
 
Huoni tatizo ndugu zako kukosa kazi? Tunafunza managers wengi pale chuo cha usafirishaji. Ni exposure tu wanakosa
bora akosekazi mtu mmoja, 140 wapate ajira, bus zilikuwa 200 zimebaki 8 huoni watu 192 wamekosa ajira, hao nit bus mpya ziko kwenye meli hajui wanini sasa si akalime nanasi makurunge
 
tumeuza nyumba za bandari wafanyakazi walikuwa wanaenda kazini kwa mguu wanaenda kuishi kisemvulle halafu asubuhi waanze kupita madirishani kuwahi kazini kama sio utaahira ni nini?

mradi wa kawe umeanza enzi ya kikwete hadi leo haujakamilika watumishi wanaenda kubanana kongowe kimara tegeta mbagala,

hivi kuna mtu alishatathmini hao abiria ni akina nani? wanaendaga wapi? mkoloni alijenga nyumba za watumishi oysterbay masaki mivinjeni mchikichini, zimeuzwa zote, sasahivi watu wanaishi kongowe na mapinga, foleni isikosekane kweli?

matatizo mengine ni maltiplier effect, tatizo moja linazua mengine saba
 
kuna watu wanatoka kigamboni kwenda kimara wengine moroco kwenda kivukon wengine mbagala, sasa treni haiwezi kua effective route zote zaidi ya mabasi
tatizo hatuna city planing, tunajenga hovyo, mtumishi udsm anaishi kigamboni badala ya kupewa nyumba ya chuo hapohapo chuoni,
 
Back
Top Bottom