Chalamila: Mwendokasi ina mabasi 60 tu, mara ya kwanza yalikuwa takribani 200"

Chalamila: Mwendokasi ina mabasi 60 tu, mara ya kwanza yalikuwa takribani 200"

Hii nchi kila mtu analalamika.
hivi unakuwa na RC kama chalamolo watu wataacha kulalamika kweli? kuna vichwa timamu kama msando sijui kwanini havipewi nafasi, haohao udart wamekodisha sijui wameuza yard ya jangwani imekuwa yard ya makontena sasa hivi ilala haipitiki, uda haohao wamekodisha gereji ya ubungo imekuwa ICD nako imekuwa shida tupu. halafu unaenda kufokea wakata ticket eti mabus mnanunua lini, shenzi kabisa
 
Bonge la idea mkuu, ila huoni mradi utazidi tu kutafuna pesa na ubora wake mpaka sasa haujafikiwa?

Bus 140 hazifanyi kazi na hakuna ufatiliaji
we acha tu, hizi bus mbovu watuuzie wikimoja zitakuwa barabarani, kuna zingine hazina betri na matairi tu
 
tatizo hatuna city planing, tunajenga hovyo, mtumishi udsm anaishi kigamboni badala ya kupewa nyumba ya chuo hapohapo chuoni,
wala ata shida sio hio! watu wanatamani kua na makazi ya kudumu huezi mlazimisha ahame sehem hapendi kisa tu mtumishi
 
wala ata shida sio hio! watu wanatamani kua na makazi ya kudumu huezi mlazimisha ahame sehem hapendi kisa tu mtumishi
akipewa nyumba ya chuo nayeye akajenga yakwake akaipangisha au akawa anaenda likizo sio mbaya ila daily traffick itapungua, akiona hawezi ishi chuoni basi tutamhamishia wizarani dodoma atatumia sgr kwenda kazini
 
mtumishi hatakiwi kupata mshahara unaomtosha uchumi utakufa
 
Serikali haiwezi kuendesha biashara,wangesikiliza ushauri wa mbunge msukuma kero ya usafiri wa mwendokasi ingekua ishaisha
 
Back
Top Bottom