hivi unakuwa na RC kama chalamolo watu wataacha kulalamika kweli? kuna vichwa timamu kama msando sijui kwanini havipewi nafasi, haohao udart wamekodisha sijui wameuza yard ya jangwani imekuwa yard ya makontena sasa hivi ilala haipitiki, uda haohao wamekodisha gereji ya ubungo imekuwa ICD nako imekuwa shida tupu. halafu unaenda kufokea wakata ticket eti mabus mnanunua lini, shenzi kabisaHii nchi kila mtu analalamika.
we acha tu, hizi bus mbovu watuuzie wikimoja zitakuwa barabarani, kuna zingine hazina betri na matairi tuBonge la idea mkuu, ila huoni mradi utazidi tu kutafuna pesa na ubora wake mpaka sasa haujafikiwa?
Bus 140 hazifanyi kazi na hakuna ufatiliaji
wala ata shida sio hio! watu wanatamani kua na makazi ya kudumu huezi mlazimisha ahame sehem hapendi kisa tu mtumishitatizo hatuna city planing, tunajenga hovyo, mtumishi udsm anaishi kigamboni badala ya kupewa nyumba ya chuo hapohapo chuoni,
akipewa nyumba ya chuo nayeye akajenga yakwake akaipangisha au akawa anaenda likizo sio mbaya ila daily traffick itapungua, akiona hawezi ishi chuoni basi tutamhamishia wizarani dodoma atatumia sgr kwenda kaziniwala ata shida sio hio! watu wanatamani kua na makazi ya kudumu huezi mlazimisha ahame sehem hapendi kisa tu mtumishi
mtumishi hatakiwi kupata mshahara unaomtosha uchumi utakufaakipewa nyumba ya chuo nayeye akajenga yakwake akaipangisha au akawa anaenda likizo sio mbaya ila daily traffick itapungua, akiona hawezi ishi chuoni basi tutamhamishia wizarani dodoma atatumia sgr kwenda kazini
Ye mwenyew zilimshindaInamana mabasi 140 yamekufa Toka mwendo Kasi uanze harafu Kuna tajiri ana eache zake kabla hata mwendo Kasi hazijaja na mpka Leo zipo barabarani ooh tumekumisi Jiwe pumzika kwa aman
Ila siasa ni raha sana.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amefanya ziara kituo cha mwendokasi Kimara na kukuta changamoto ya uendeshwaji mbovu wa huduma, ikiwa idadi ya mabasi yanayofanya kazi ni 60 kati ya mabasi 200 yaliyoletwa mara ya kwanza.
Maswali yale aliulizwa mtu wa UDART sio wa DART jielimishe zaidi kuhusu mradi huu.DART Mwendokasi naona chalamila anauliza maswali yanayoulizwa kwenye uzi wako.
Mnaagiza magari na hamjui yatakuja lini.