figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Hana jeuri hiyo yeye anawabana madereva tuChalamila kaagiza Malori yote yanayo egesha kando ya barabara yakamatwe.
Lakini ICD zote zipo kando ya barabara na hazina Parking.
Maseva 50 wanaweza kukutana wote kwenye ICD ili washshe au wapakie. Unategemea nini kitatokea.
Mfano MOFAT saaa hivi kanunua mabasi ya mwendo kasi na rais ndo aliallikwa kuyazindua. Unadhani utamwambia nini kuhusu ICD zake mjini?
Chalamila mweenyewe ana Malori yanapark barabarani.. Labda anapiga biti ili isionekane katumia cheo kujinufaisha. Malori yake Polisi hawayapigi mkono hata kama Bovu vipi. Suluhisho ni Makontena yote ya ICD kwenda kushusha Kwala.
Kwala Magufuli aliisimamia na malori yaliingia. Lakini tangu huyu Mzanzibari aingie, Kwala pameota nyasi huku pakiwa na miundombinu
Nani wa kufanya hayo maaumuzi sasaICD zibakie chache za mizigo ya mjini (dar pekee).
Mizigo ya mikoani na nje ya nchi wakapambane kule kwala.
Yeyote mwenye mamlaka hayo.Nani wa kufanya hayo maaumuzi sasa
Ova
Pale jangwani depo ya mwendokasi nasikia ishageuzwa ICDICDs ni za wenye nchi wanaoweza kumuondoa hapo wakati wowote.
Hakuna huko juu mwenye jeuri ya kuzitoa icd hapa mjini???????Yeyote mwenye mamlaka hayo.
Chalamila anaweza kuondoa ICD ya Mwigulu? Au ya Mtoto wa Samia? Hata ICD za Mohamed Dewji huyu hawezi zigusa. Polisi wenyewe walimteka baadaye wakaenda kwake kunywa chaiHakuna huko juu mwenye jeuri ya kuzitoa icd hapa mjini???????
Ova
Huyu dereva kamchana liveHiyo nafasi haimtoshi