Chalamila Ondoa ICD Mjini kama wewe Mwanaume. Acha kuonea Madereva


Dhana nzima ya kuwa na mipango ya kueleweka imeparanganyika. Malori yaishie Kwala. Mjini yanaleta kero. Imagine Kurasini, Kigamboni na Temeke wanaishije?
 
Chalamila anaweza kuondoa ICD ya Mwigulu? Au ya Mtoto wa Samia? Hata ICD za Mohamed Dewji huyu hawezi zigusa. Polisi wenyewe walimteka baadaye wakaenda kwake kunywa chai
Za gsm tu hana jeuri hata ya kuzisogelea 😄

Ova
 
Dar ni mji wa kale... Kufanya uendane na kasi ya sasa ni lazima malori, bandari kavu, masoko yaelekezwe nje ya mji mbali sana kuleee... Mbele ya Chalinze!
 
Huu ni ukichaa kabisa.
 
Mlifikiri walipokua wanamwaga mafekechee walikua wanawapenda eh?

Mimi huwa ninawacheka watu wanaosema CCM ni chama cha kijamaa , wakati kiko katika ubepari wa juu kabisa tena wakukumbatia mafisadi [ sio kila tajiri ni fisadi ila kila fisadi ni tajiri] .

Hapa ndio mtaelewa kwanini kuna sera na nchi fulani matajiri hawapokelewi mapesa yao hovyo ili mbeleni yasije kutumika kama kinga endapo wakivunja sheria.

Domokaya Chalamila hawezi kitu atapiga kelele tu za juu juu ila hapo hatotoka na kitu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…