Chalamila Ondoa ICD Mjini kama wewe Mwanaume. Acha kuonea Madereva

Ameongea sana lakini nimechukizwa na kumwamkia huyo mtu wanini wakati hawa ndio wauaji wenyewe?
 
Hana jeuri hiyo yeye anawabana madereva tu
Wamiliki wa icd hana jeuri ya kuwagusa
Mbona ile icd ya wale gsm mbagala ina sabababisha foleni ushawahi sikia akizungumzia
Mizigo yote ya transit ilitakiwa kupelekwa kwala

Ova
Hivi kwani Hizi ICD zonapata faida gani kubwa transit kuanzia Dar badala ya Kwala au popote nje ya Dar? Ni kukwepa gharama za Usafiri tu wa bandarini to Kwala au Kuna mengine? Maana binafsi hata kibiashara kuchukulia Kwala kwangu inakuwa na faida nyingi.
 
Pale mpaka siku ajali itokee ndiyo watu watastuka, wanabana barabara kushoto na kulia,
Aisee hatuna mipango kabisa, bora wangeweka kiwanda pale kuliko ICD
Acha tuu mzee, na road ilivyo nyembamba sasa, na hata parking hawana kutwa kutujazia barabara ni changamoto mno
 
achana na porojo za wanasiasa, wakazi wa Mbagala sasa ndo wanajua kama ni Malori au Mabasi yanayoleta foleni hapo mjini Daslam..
 
11 September 2026
LILONGWE, MALAWI

SPIKA BUNGE LA MALAWI : KAMATI YA BUNGE LA MALAWI YAHOJI MAKAMPUNI YA NJE KUPEWA TENDA YA USAFIRISHAJI MAFUTA


View: https://m.youtube.com/watch?v=Ju9BMi694NQ


SPEAKER CRACKS THE WHIP


Parliament is turning up the heat on the National Oil Company of Malawi (NOCMA)

SPEAKER SAMEER SULEMAN

Speaker of Parliament Sameer Suleman announced the inquiries in Lilongwe yesterday during a media briefing, saying the complaints concerned issues affecting Malawians and the management of public resources.

He said the complaints warranted parliamentary action and that the committees would conduct evidence-based inquiries.

Among the issues to be investigated are complaints from transporters alleging that foreign companies are being favoured over local transporters in the transportation of fuel.

“An analysis covering January to June 2026 showed that local transporters made 788 trips for Nocma, representing 16 percent, while foreign transporters made 4,080 trips, representing 84 percent,” Suleman said.

For Petroleum Importers Limited, local transporters made 817 trips, representing 81 percent, while foreign transporters made 188 trips, representing 19 percent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…