Chalamila: Sijaona Rais Samia ukielekeza Ukatoliki au Ulutherani wa mtu kufanya mambo unayoyataka

ohooo! umenikumbusha mwaka 47 eti ndege ya rais itanunuliwa hata wananchi wakila nyasi! Sawa tu! ila 2024 mtaua raia 1000000 ili kujipitisha bure bure kama kawaida yenu stupid
Punguza kisirani hata washinde wengine kaa ukijua gharama huwa haziepukiki Kwa Raisi
ohooo! umenikumbusha mwaka 47 eti ndege ya rais itanunuliwa hata wananchi wakila nyasi! Sawa tu! ila 2024 mtaua raia 1000000 ili kujipitisha bure bure kama kawaida yenu stupid
 
Acha wajifunze the HARD WAY hao ndio walikuwa viherehere kuipigia kura kijani tena kwa mbwembwe.Hawakutaka hata yeyote mwenye maoni tofauti akanyage maeneo yao waliwarushia mawe!!!Sasa acha wapate somo kwa njia ngumu zaidi
 
Kwa mfumo wa utawala ulivyo yaan bila kujitoa akil na kua na chembe hai za uchawa, hakyanani hutoboi!!
 
hatuko tayari kuona Rais ukitukanwa na kurushiwa mawe, Polisi wameimba wakikuvaa tutawavaa, na mimi kama Mkuu wa Mkoa wa Dar naahidi wakikuvaa nitawavaa.

Yaani inatumika nguvu kubwa mno kutetea kotu kinachoitwa Rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…