Chalamila: Sijaona Rais Samia ukielekeza Ukatoliki au Ulutherani wa mtu kufanya mambo unayoyataka

Chalamila: Sijaona Rais Samia ukielekeza Ukatoliki au Ulutherani wa mtu kufanya mambo unayoyataka

ohooo! umenikumbusha mwaka 47 eti ndege ya rais itanunuliwa hata wananchi wakila nyasi! Sawa tu! ila 2024 mtaua raia 1000000 ili kujipitisha bure bure kama kawaida yenu stupid
Punguza kisirani hata washinde wengine kaa ukijua gharama huwa haziepukiki Kwa Raisi
ohooo! umenikumbusha mwaka 47 eti ndege ya rais itanunuliwa hata wananchi wakila nyasi! Sawa tu! ila 2024 mtaua raia 1000000 ili kujipitisha bure bure kama kawaida yenu stupid
 
Kuna baadhi Wana mdanganya, ama wanamficha!

Kwa uchache, Raia wa Tanzania ambao wanafanya kazi za uvuvi Ziwa Victoria (Maarufu Ziwa Rwelu/Lwelu) hawako huru kufanya shughuli Yao Hii adhimu bila hofu.

Wavuvi wenye mitumbwi, na Mashine(injini za mitumbwi) Wana hofu sana. Wanafanya kazi kwa hofu na wasiwasi kwa sababu wanavamiwa na majambazi na kuporwa zana zao za uvuvi zikiwemo Mashine za uvuvi, na Simu. Wakati, mwingine wanakatwa mapanga ama kutoswa majini na Hata kuuwawa.

Kwenye Ziwa hilo Kuna boti ya polisi kwa ajili ya "patrolling". Inasemwa, hawa wanafanya kazi ya kukimbizana wafanya magendo tu lakini hawajihusishi namna ya kukabili wahalifu wanaowatia hofu wavuvi hawa ambao wanasaidia kukuza Uchumi wa nchi kwa kulipa Kodi, ada, tozo, na ushuru wa aina mbalimbali.

Matukio ya kuumizwa na kuporwa kwa wavuvi kwenye Ziwa Victoria inasisitizwa kuwa si ya kufikirika Bali ni matukio ya ukweli.

Rai kwa Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu Hassan atamke neno la Faraja kwa wavuvi hawa wa Ziwa Victoria na maziwa mengine, mito na bahari wanao kabiliwa na tishio la ujambazi katika maeneo Yao ya kazi. Kisha wale ambao hawatimizi wajibu wao kurahisisha shughuli hii muhimu ya kiuchumi kwa nchi yetu wawajibishwe inavyostahili kwa mujibu wa sheria.

Asante kwa kusoma bandiko hili.

Kazi Iendelee.
Acha wajifunze the HARD WAY hao ndio walikuwa viherehere kuipigia kura kijani tena kwa mbwembwe.Hawakutaka hata yeyote mwenye maoni tofauti akanyage maeneo yao waliwarushia mawe!!!Sasa acha wapate somo kwa njia ngumu zaidi
 
Kama kuna mtu yeyote atasimama kukuelekeza wewe na Serikali yako kufanya vitu ambavyo wanataka iwe hivyo, naomba usimame na unyooshe kamba kwa kuwa utapimwa kwa matokeo.

Simama katika mstari, hatuko tayari kuona Rais ukitukanwa na kurushiwa mawe, Polisi wameimba wakikuvaa tutawavaa, na mimi kama Mkuu wa Mkoa wa Dar naahidi wakikuvaa nitawavaa.
Kwa mfumo wa utawala ulivyo yaan bila kujitoa akil na kua na chembe hai za uchawa, hakyanani hutoboi!!
 
hatuko tayari kuona Rais ukitukanwa na kurushiwa mawe, Polisi wameimba wakikuvaa tutawavaa, na mimi kama Mkuu wa Mkoa wa Dar naahidi wakikuvaa nitawavaa.

Yaani inatumika nguvu kubwa mno kutetea kotu kinachoitwa Rais
 
Back
Top Bottom