Chalinze, Pwani: Rais Samia azindua mradi wa maji na kuzungumza na Wananchi
Katika kuadhimisha kilele Cha wiki ya Maji, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan Leo tar 22 Machi 2022 amefanya uzinduzi wa mradi wa maji na kuzungumza na wananchi wa Chalinze.

#AlipoMamaVijanaTupo
#2022JiandaeKuhesabiwa
#Kaziiendelee

IMG-20220322-WA0269.jpg
 
Kazi nzuri.., miradi iwafikie watz wanaodhimisha maji ya mvua tu kila mwaka.., hongera rais SSH.
 
Back
Top Bottom