Challenge accepted: Tokea JF ianzishwe hakuna Mwanamke mrembo kuzidi Lamomy

Hauna umafia wowote masta
Soma vizuri ID yako ndio utajua levo ya umafia wangu Masta

Halafu Lamomy Kuna kipindi alikuwa anakusagia kunguni , kukusema vibaya na kukusingizia mbovu masta . Naomba umsamehe sasa kashakuwa My dear .

Nimemkubalo sababu Mafia huwa tunapenda mademu vilaza
 
Hizi mada zilikuwa haipiti week!!
Joanah nakukubali sana ila tatizo Mimi Mafia siruhusiwi kuwa na mtoto mzuri ambaye na yeye ni Mafia yupo vizuri
kichwani yaani "beautiful Lady with High IQ"

Ndio maana nimekimbilia kujiokotea kilaza kila kitu ndio tusisumbuane .
 
Acha ujinga kuzidi demu wangu Gentamycine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…