Unaweza ukawa na stress siku nzima. Ukakutana na comment moja tu apa jf ikabadisha mood. Mkuu umenifurahisha sana πWeka picha yake nifanye kumlia haya mambo View attachment 3513597.. alafu badae.. ni humu tuu
View attachment 3513599
Mimi ni mtandao mkubwa mtu mmoja kama kikosi cha Pina.Usichokijua huyo ni popoma na ndo mmiliki wa ids zote za yule member anayevamia nyuzi na kuzipa dislike na kutukana mpaka mods. Anayepigwa ban na kufungua mpya kila muda..!!I
NaeEnjoy sana unavyoniita majina mabaya hiyo ndio furaha yangu bestieWe unayo mpaka yeye awe nayo?
Kabisa unajichosha na huyu tahira?
Inasikitisha sanaNajua hajitambui Ndo mana Uzi umejaa taarabu tuu
Nani huyo anayetukana mpaka mods , naomba umtag nimuongeze kwenye list ya vijana wangu wa kazi maana napenda watu vichaa kama haoUsichokijua huyo ni popoma na ndo mmiliki wa ids zote za yule member anayevamia nyuzi na kuzipa dislike na kutukana mpaka mods. Anayepigwa ban na kufungua mpya kila muda..!!
Ni genta huyo tahira nilimpiga spana kwenye nyuzi zake za kusifia upuuzi kaamua kuja kwa style mpya baada ya kichapo kumuingia..!!Lamomy nahitaji kuthibitisha hili!!.
Ila Kwa Sasa ngoja tumalizie Kuikomboa Nchi , muda ni mchache sana.
Alaaaaa basi lengo lake ni wanaokujua ( Incase wapo humu) warushe hapa Picha zΓ ko.Ni genta huyo tahira nilimpiga spana kwenye nyuzi zake za kusifia upuuzi kaamua kuja kwa style mpya baada ya kichapo kumuingia..!!
Muhimu kwa sasa nchi ipate uhuru wa kweli. Mambo ya nani ni nani hayana tija kwa taifa..!!
Asante sanaKama alivyochubua mama yako matraco yake na akabaki km ngedere..!!
Anauza vipodozi kariakoo! Huwezi kuwa muuza kangara bila kuonja kangara. Hukuona niffer wa uraiani na yule wa lupango? Jambo la maana Bora mkono uende kinywani
Could you put her photo please?Nilikuwa nazawa nitoke road niandamane nikafikiria hivi nikipigwa Shaba na kufa kizembe Mwanamke mrembo kama Lamomy nitamuona wapi ?
Mimi sio chawa wala sijavuta bangi I'm The Mafia boss with high IQ kwa akili zangu timamu nasema hakuna mrembo Jf kuzidi Lamomy nimetumia vigezo vingi na nimeangalia kwenye spiritual gallery mpaka kufikia kusema haya .
Naomba cocastic unisaidie kumuelezea Lamomy jinsi ninavyomkubali najuanin mtata na sio jambo rahisi kuelewa maana Warembo wakali ndivyo walivyo.
Mishale nitaanza kuichambua sifa moja Moja za mrembo wetu wa Jf Miss Lamomy
#Mafia Boss with high IQ
π€£π€£Hamna anayemdhidi urembo BICHWA KOMWE -
Mzabzab kapoa sana sikuiziii
πππ DahWeka picha yake nifanye kumlia haya mambo View attachment 3513597.. alafu badae.. ni humu tuu
View attachment 3513599
Ngoja JF irudi kama zamani labda naye atarudi.Mzabzab kapoa sana sikuiziii
Cc. @dronebrake