Challenge ya picha: Ni picha gani unaitafuta bila mafanikio

Challenge ya picha: Ni picha gani unaitafuta bila mafanikio

Naomba picha ya Betina akisukana na rafiki yake 😊
Nimepata hizi 😂
FB_IMG_1742501340496.jpg
FB_IMG_1742501330090.jpg
 
Vipi kuhusu wale wadada wawili sikumbuki majina kitabu kiliandikwa kipindi ukimwi ukiwa unaanza kuenea.

Kama nakumbuka kulikuwa na mdada anaitwa Sikitu
Nitawapata usijali
 
Back
Top Bottom