Mola akubariki mkuu.
Mwezi Mtukufu Hauzuii Kuzisifia Turfuuh Za Kheri, Na Zakupendeza Za Allah Alizowajalia Waja Wake Katika Huu Ulimwengu.Ustaadh mwezi mtukufu huu😂😂🤣
Hii wakati Kibanga anampiga mkoloni nilikuwapo! Maana hiyo hali huwa nai-feel sana na mahali nilipokuwa nimekaa kwenye huo mkutano huwa napakumbuka!
Lilitoka hapo likaenda kumla!
Mwezi Mtukufu Hauzuii Kuzisifia Turfuuh Za Kheri, Na Zakupendeza Za Allah Alizowajalia Waja Wake Katika Huu Ulimwengu.
Hapa kama fisi anacheza na mic.