NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,920
Sadiki na sikiriSadiki na Chitemo
Sadiki na sikiriSadiki na Chitemo
Hizi ni mbegu,mbegu za kupanda au maharage.View attachment 3278679
Hapa sio Tanzania 🤪🤪🤪
Picha hii inaburudisha na kusisimua sana
Picha yangu.Niambie nikuwekee hapa chap! Zingatia maadili.. Zisizofaa sitapostView attachment 3278052
Nataka picha ya kibawasiri, maelezo nishasoma![]()
Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa
Ukishakuwa na upungufu wa kinga mwilini tayari ni tatizo Jr[emoji769] Kuna magonjwa ambayo ni hatari japo uwezi kuwa na upungufu wa kinga mwilini. Ila kiongelewacho ktk mada yako ni nyama inayojiokeza katika maeneo ya haja kwa mwanamke au mkia wasemavyo wengine. tusitoke nje ya mada yako.www.jamiiforums.com
Nataka ile ya kibanga ampiga mkoloni, na ile ya nyuki wakiwavaa yanga taboraNiambie nikuwekee hapa chap! Zingatia maadili.. Zisizofaa sitapostView attachment 3278052
Hiyo ni maharage rose coco.Hizi ni mbegu,mbegu za kupanda au maharage.
Ni za kupanda. Si unaona shamba tayari lipo clear ready for upanziHizi ni mbegu,mbegu za kupanda au maharage.
Hakika hii lazima aiambie akili mnemba , itamfanyia kila kituHii labda tuitengeneze kwenye akili mnembe
Mimi natafuta video fulani..yaani "inasemaekana ni ya Kongo, hapo jamaa wanasafiri kwa shida sana gari ni zile Lori za zamani, Kila hatua ni matengenezo lkn finally wanafika,, mwenye background Kuna wimbo wa Lesi wa nyika wa Safari...
Msaada kaka Mshana Jr
Nione kama hazifaiIli?
Hii ni chapa Usukumani enzi za ujana wetu! Mwanzo wa mavuno ya mazao hapo ilikuwa ni kama mwezi Januari au Februari! Ilikuwaga raha sana. Hatuna hela lakini maisha yalikuwa ya raha tu!Niambie nikuwekee hapa chap! Zingatia maadili.. Zisizofaa sitapostView attachment 3278052