Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
- Thread starter
- #121
Hii labda tuitengeneze kwenye akili mnembeNaomba mtu akiwa ndani ya ndege angani anakula msosi ila yupo na familia ya mke na mtoto mdogo wote wakiwa makamo ya miaka ishirini na tisa na pia sura zao hazipo kwenye picha ila viungo vingine na chakula .
Ukiweza hili nitaomba uniambie unafanyaje aisee