Captain wao ni madenge😂
Sidhani kama atakuwa nazo baada ya kuzichoma moto kwa wingi na kuanza kueneza injili.Sijamjibia ila nimebashiri.Picha yako ukiwa kilingeni upload hapa
Wish ningepata pdf ya hizi majarida.
😁😁😁View attachment 3278677Sidhani kama atakuwa nazo baada ya kuzichoma moto kwa wingi na kuanza kueneza injili.Sijamjibia ila nimebashiri.
Sawaaaa!Hapo bwana mganga kafurahi kwelikweli baada ya mteja kukubali kuleta jogoo kubwa jeupe na mbuzi dume jekundu.